Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Utamu wa pilau ule taratibu ukibugibugia utapaliliwa upate kilungulila bure .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ehehehehe shkamooo Baba
Kumbe huku mbele maelezo yamenyooka zaidi
Usikatishwe tamaa na yoyote
Tumeipenda na tunajifunza
Iko vizuri japo ni mambo ya kusikitisha mno
Na itasomwa na wengi mnoo hutaamini
 
Yes bro! Ndio hadi sasa kuna hija huko Kibeho Rwanda! This is real!

Sent using Jamii Forums mobile app
2010 nilipeleka mzigo wa vifaa vya electronics kigali mwenyeji wangu yeye hanijui vizuri akawa ananiletea story za kibeho yeye na mkewe ni watusi akanilazimasha twende kibeho nikaenda kufika kwenye Yale makabati ya mafuvu nikahisi kuwa nataka kupandisha mashetani sijui ni pressure akashangaa sana nikamwambia uoga tu.angejua ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu si ungetumia nafasi na muda huu kushusha nondo zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila sie wabongo tuna roho za kwanini sana huyu mzee kajitolea kuelezea alichokiona tena bure humu JF ila kuna mijitu imejikita kumshawishi auze kitabu asiandike humu bila kujua labda huyu hana hata shida na hivyo viela vya kuuzia kitabu halafu ana uelewa wake mwenyewe anajua anachofanya , kama vipi tungeni nyie vitabu.
 
Kuna watu wataiiba stori hii na kujifanya ni wao
Sent using Jamii Forums mobile app
 


He's talking about 1989 not 1994.
 
Hahaha, we jamaa dah umenifanya Nicheke kama mwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ubalozi ni eneo la nchi yenye ubalozi hivyo uwezi kuingia kuvamia tumtoa MTU aliye jificha ubalozini hadi wenye ubalozi waamue ndiyo maana hata maraisi wakipinduliwa wengine wanapewa hifadhi ubalozini awaguswi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kutueleza kuhusu hatma ya watoto roho yangu imepumua sasa.

Shauku yangu nyingine ni kujua kuhusu hatma ya ile landrover, je hao askari wa kwenye hiyo landrover walikuwa wabongo au?? Je waliishia wapi??

Kwa kweli usiache kutuambia kuhusu hiyo landlrover.
 
Balozi anastahili zaidi ya tuzo daaaah
 
Kisa kizuri sana kinatia uchungu...sijawahi soma zaidi ya koment 200 lakini nimelazimika kusoma mpaka 600 ili kupata stori yote

Hii ndio alama yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini una angaika kusoma macomenti yote kutafuta mwendelezo wakati unacho takiwa ni kuingia kwenye kurasa za mleta Uzi kwa kugusa jina lake ,kisha inaingia ndani unaona anavyo post na kufuatilia bila usumbufu ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Bossless poleh sana mwa madhila uliyoshuhudia
Movie tu za kupigana wengine hatuwezi kutizama sembuse haya
Poleh sana
May God heal ur heart and cleanse your memories Amen
Nishasoma mara kadha kuhusu hii vita js out of interest huwa wanasema nafanana na wa'tutsi..
Sio siri halikua jambo la siku moja ni chuki ya miaka nenda rudi

tanzania we can never have civil war kutokana na wingi mkubwa wa makabila
Ila Rwanda wasali sana sanaaaa...risk bado ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…