Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Kuna raia humu wana roho mbaya, wanamshawishi baba yetu Bossless ahamishe stori kwenye kitabu

wanatamani stori ingekuwa yao wangetuhamisha watsap kwa kiingilio cha elfu 2
Mungu akaliona hilo ndo maana stori kampa mzee wetu

Ajabu watakopi na kuhamishia FB, ista na watsap, watajifanya wao ndio mzee Bossless na watawachangisha wenzao pesa ya kiingilio ili kupata stori


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una sura ya kitutsi, utakuwa bonge la lady[emoji39], samahani nimeingilia uzi wa majonzi. Ilà kwa kweli hawa watu sidhani kama yameisha, PK akiondoka tu tunaweza kushuhudia mengine. Just imagine in 90 days wamekufa kwa risasi na mapanga watu karibia 1mill, Nani alipandikiza huo uovu, nani alitoa pesa za kufadhili uovu, nani alimwaga silaha? Mtu mke na mume wanachapana mapanga, wakimaliza wanawachapa watoto mapanga WTF kilichoingia kwenye vichwa vyao?
 
CCM tuwaangalie jamani UVCCM ni hatari sana, hawa CCM tuwaondoe mapema ili tujenge utamaduni wa kuachiana uongozi. Kama mwanasiasa anapowakosoa tu wanaamua kumuua vipi huko mbele.
Mikutano ya wapinzani inazuiwa (Heche) na polisi ya wao inaruhusiwa kufanya fujo mbele ya mkutano wa mpinzani sawa je kwao itakuwaje?
Tunakoelekea sipajui. Intarahamwe wa bongo ngoja waanze kupewa vyombo vya ncha kali tuone


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo sheria za kimataifa raia wanazifahamu? Waliokuwa wanafanya mauaji Ni raia ambao hawazijui hizo sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga.maana Rwanda ya miaka 20 iliyopita siyo sawa na yaleo wataiharibu tena nchi yao.
 
JF ni taasisi kubwa sana kwa hivi sasa.
Nashauri huyo Balozi leo afahamike jina na Picha yake,apewe heshma kubwa leo kwakuwa ni siku ya wanawake Duniani.Ana kila sababu ya kukumbukwa na kutambulika kwa ushupavu wake.
Mleta habari umenisisimua sana,siwezi kuelezea.Kipindi hicho tulikuwa JKT kwa mujibu wa sheria 841 kj.Tulikuwa tunaambiwa tutapelekwa huko (redio mbao) kutuliza hali ya mambo.So imenikumbusha Mbali sana.
Cc Bossless
Cc Maxence Melo
Cc Asha D Abinallah
 
Asante Mkuu! Hiyo ni kwa mujibu wa sheria za kidiplomasia...

...hivi unaielewa vita mkuu!! Kuna kombola linaloweza kukwepa balozi kwa kuwa sheria zinailinda balozi! Unamkubuka aliyeponyokwa na roketi ya begani wakati watz wamezungukwa na interahamwe!! Kama jengo la ubalozi lingekuwa karibu, sheria zingesaidia nini!!

Fita ni fita muraa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana tofauti na Warangi, wanyaturu au wambulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bossless nilidhani huyo mama angekuwa mhangaza ama mnyambo wa Karagwe hasa kwa kuwa alikijua Kinyarwanda ambacho kina mwingiliano mkubwa na makabila ya ukanda huo. Kumbe mtu wa visiwa vya karafuu!! Basi atakuwa alitumikia ubalozi huo kwa muda mrefu hadi kuinyaka lugha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wataongezea mbwembwe ambazo hazikwepo umu pamoja na yule wa simulizi wasafi FM ataiiba na kuelezea kwe kipindi chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…