Kujua lugha kama unahitaji hilo wala haichukui muda mrefMkuu Bossless nilidhani huyo mama angekuwa mhangaza ama mnyambo wa Karagwe hasa kwa kuwa alikijua Kinyarwanda ambacho kina mwingiliano mkubwa na makabila ya ukanda huo. Kumbe mtu wa visiwa vya karafuu!! Basi atakuwa alitumikia ubalozi huo kwa muda mrefu hadi kuinyaka lugha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha lool thanksKama una sura ya kitutsi, utakuwa bonge la lady[emoji39], samahani nimeingilia uzi wa majonzi. Ilà kwa kweli hawa watu sidhani kama yameisha, PK akiondoka tu tunaweza kushuhudia mengine. Just imagine in 90 days wamekufa kwa risasi na mapanga watu karibia 1mill, Nani alipandikiza huo uovu, nani alitoa pesa za kufadhili uovu, nani alimwaga silaha? Mtu mke na mume wanachapana mapanga, wakimaliza wanawachapa watoto mapanga WTF kilichoingia kwenye vichwa vyao?
Mkuu Bossless nilidhani huyo mama angekuwa mhangaza ama mnyambo wa Karagwe hasa kwa kuwa alikijua Kinyarwanda ambacho kina mwingiliano mkubwa na makabila ya ukanda huo. Kumbe mtu wa visiwa vya karafuu!! Basi atakuwa alitumikia ubalozi huo kwa muda mrefu hadi kuinyaka lugha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki unaacha....Eti bikira Maria alitokea akaonya shubaaaajit toa upuuzi wako hapa
Halafu ninachojua mimi ni kwamba asilimia kubwa ya vifo havikutokana na risasi bali majambia na silaha zingine za jadi.
Kuna maelezo ya Afisa mmoja wa jeshi la Ufaransa aliyekuwa mlinda amani huko chini ya mwamvuli wa UN alidai kwamba alitoa taarifa ya tahadhari kwa wakubwa baada ya kuwepo uingizwaji na ugawiwajwi wa majambia kwa jamii fulani pekee kabla hata Vita haijawa rasmi.
Na kuna uwezekano haya yakawa ndiyo mauaji ya kikatili zaidi kuwahi kutokea ambayo yaliuwa watu wengi kwa muda mfupi,Nagasaki&Hiroshima inasubiri interms ya ukatili though ndiyo matukio yanayotajwa kuua watu wengi kwa muda mfupi zaidi kwenye historia.
Heri risasi na mabomu au concentration camps za Hitler,kifo Cha kuchinjwa ni ukatili wa ajabu sana nashindwa hata kujua hiyo chuki ilipandikizwaje kwa jamii yote hadi watu wakafikia kiwango hicho cha hasira.
Makabila gani hayo yenye nia ya kuligawa taifa? Yataje kama una uhakika na ulichoandika?Kama vile Tanzania makabila flani yalivyojaribu kujimwambafai mana wakoloni walianza peleka elimu na umishenari kwao ila Nyerere na marais wote wa watanzania hasa Magu saivi ni wajanja sana kwenye kufyekelea mbali ishu za makabila flani yenye nia ovu ya kuligawa taifa
Ni kweli kabisa ukisha ona Chama tawala kisha anza kuwa ma Vikundi kama vya green guard,Navyojua silaha walipewa na serikali ya chama tawala sababu serikali ya chama tawala walishapoteza matumaini ya sapoti ya jeshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina nani walisema hayo maneno?Nashukuru TZ washasema makabila flani hawezi mtu kuwa raisi kutoka hapo na Nyerere aliamua kusambaza watoto shule kujimix mikoa ya mbali ili waone wao ni kama wengine tu.
Mbari=RaceHv ni kwanini yanafahamika kama mauaji ya kimbari?? Kimbari ni jina la eneo au nini hasa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania siasa ndio jambo la hatari kuliko chochote kwa sasa! Kuna kadi ya ccm mara kadi ya chadema nk. Hizi kadi ni suala la muda tu, zinaweza kutumika kufanya ubaguzi na baadaye kusababisha mauji makubwa kwa watanzania. Wenye mamlaka hawaoni, tusio na mamlaka tunaona lkn hatuna namna ya kufanya.Baba Bossless poleh sana mwa madhila uliyoshuhudia
Movie tu za kupigana wengine hatuwezi kutizama sembuse haya
Poleh sana
May God heal ur heart and cleanse your memories Amen
Nishasoma mara kadha kuhusu hii vita js out of interest huwa wanasema nafanana na wa'tutsi..
Sio siri halikua jambo la siku moja ni chuki ya miaka nenda rudi
tanzania we can never have civil war kutokana na wingi mkubwa wa makabila
Ila Rwanda wasali sana sanaaaa...risk bado ipo
huyo Bossless unaemwambia aache ufala ana 55yrs wew kwa hii comment yako tu inaonyesha hauzidi 30yrs....heshima ni kitu cha bure kabisa.We Bossless acha ufala nawe nae! Kisa hawa waropokaji ndio ukatishe uhondo, haya mangapi huko mtaani unakutana nayo, hebu leta stori mzee tusikerane dingii!!
Nimejitahidi kusoma nipate mwendelezo, halaf nakutana na hii comment yako, bila shaka we ni mkubwa wangu ila haki ya nani vile ungekuwa karibu ningekupiga mbonge wa mbichwaaa!! [emoji13][emoji23]🤣
Leta mambo bwana!
Mkuu wapi nimemtaja huyo kiongozi wa nchi? Au ndiyo yale ya give your dog a bad name and kill it?Naona ni Comment yako ya pili na zaidi unamhusisha magufuli na huko, una shida gani mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Robusta au ArabicaMimi mgeni sijui niende uelekeo gani ikumbukwe miaka ile nyumba za wageni zilikuwa za kuhesabu basi ikabidi tushuke pale stand tukawa tunakula mikate na chai na wengine chai na kahawa.