Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Duh mzee hii vita imepoa kwa muda tu, kweli vita ijayo itakua ni ya kuiingiza shimoni Rwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapomalizia na sentensi hiyo unamaanisha unaombea suala litokee??
nakuona kama mjinga hivi
Mkuu niliyemquote ameuliza kama ni suala la muda au lah so licha ya kwamba nmeomba Mungu aepushe ila nmemjibu kuwa ni kweli ni suala la muda tu haya kutokea kama alivyouliza.
 
Kisasi hakitoisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikua kichwa saaana, hatokuja kutokea kiumbe mwenye akili nyingi kama yule hapa tz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barrier hazikuwa nyingi kihivyo zilikuwa mbili tu na maaskari walikuwa wanahangaika na malori kuliko hivyo vigari vidogo vya abiria.
Halafu napata mashaka kama kweli ulikuwa nimwanabarozi,kujua vizuizi vilivyopo kasumbalesa mpaka Lubumbashi kote huko ulifuata nini tena na gari wakati ubalozi upo kinshasa maelfu ya km kutoka mpaka wa Zaire(Kongo) na Zambia.
Mi nadhani useme ukweli tu kwamba wewe ni wa malori mwenzangu sio dhambi.
Na sisi watu wa malori tuna exposure kubwa zaidi kuliko wapanda ndege hivyo usione haya kusema wewe ni dereva.
Pia wakati wa machafuko nyie mnaojiita mabalozi mlijifungia ktk balozi zenu sisi baadhi yetu ndio tuliotekwa nyara tukazuiwa,bidhaa zikaibwa na baadhi ya nyakati tulishuhudia live watu wakiuawa. Na ukiruhusiwa kurudi kwenu unakuta maiti zimezagaa barabarani,mwanzoni tulikuwa tunazisogeza kwa kuzipa heshima ya kibinadamu lakini kwa jinsi zilivyokuwa nyingi tukawa tunazikanyaga tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hao ma padre wangekufa wao nA sio kuwauza wezao
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ndio akili yako ilipoishia hapo, Kama yeye ameona alichokiandika bahati mbaya nlidhan nawe ulkua msafara mmoja na huyo jamaa kumbe wewe ulikuwa ya kongo alafu unampinga.

Uungwana n kuja na reference zako a-z ili ujifunze nasio kufundisha watu jifunze hilo
 
Maneno Itere+hamwe
ITEREHAMWE INA MAANA GANI?
HAMWE NAHISI INAMAANA YA PAMOJA. JE HII ITERE?
 
Subiri amalize stori yake ndio uanze kumbishia, kunasehemu amesema amewahi kufungwa Zambia miaka mitatu jela kwa biashara ya vyuma chakavu,. Hivyo anaonekana anamengi ya kusimulia mtu wa umri wa miaka 55 jua amepitia mengi kwenye maisha..

Kama na wewe ulikuepo huko anzisha uzi wako kwa uliyoyaona, sio unakuja kubisha hapa kwa paniki bila maelezo ya kueleweka..

Hata kama alikuwa Dereva lakini mwisho wa siku ni kusimulia ili Watanzania tujifunze, ili tuweze kuepukana na vikundi vya kikabila vinavyoletwa na Gwajima kupitia Wasukuma...vikundi vya Green gad vya CCM.

Maana hivyo vikundi siku vikikabidhiwa silaha havijuagi diplomasia zaidi ya kuua tu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…