LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Punguza hasira mamaUnaandika ma-paragraph mareeeefu hata hayana maana.
Kuwa kama wanawake wenzako basi.
Happy Womens' Day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza hasira mamaUnaandika ma-paragraph mareeeefu hata hayana maana.
Kuwa kama wanawake wenzako basi.
Mpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)Barrier hazikuwa nyingi kihivyo zilikuwa mbili tu na maaskari walikuwa wanahangaika na malori kuliko hivyo vigari vidogo vya abiria.
Halafu napata mashaka kama kweli ulikuwa nimwanabarozi,kujua vizuizi vilivyopo kasumbalesa mpaka Lubumbashi kote huko ulifuata nini tena na gari wakati ubalozi upo kinshasa maelfu ya km kutoka mpaka wa Zaire(Kongo) na Zambia.
Mi nadhani useme ukweli tu kwamba wewe ni wa malori mwenzangu sio dhambi.
Na sisi watu wa malori tuna exposure kubwa zaidi kuliko wapanda ndege hivyo usione haya kusema wewe ni dereva.
Pia wakati wa machafuko nyie mnaojiita mabalozi mlijifungia ktk balozi zenu sisi baadhi yetu ndio tuliotekwa nyara tukazuiwa,bidhaa zikaibwa na baadhi ya nyakati tulishuhudia live watu wakiuawa. Na ukiruhusiwa kurudi kwenu unakuta maiti zimezagaa barabarani,mwanzoni tulikuwa tunazisogeza kwa kuzipa heshima ya kibinadamu lakini kwa jinsi zilivyokuwa nyingi tukawa tunazikanyaga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama debora ni kichaa angalia anashambulia kila mtu humu naona ana nia ovu kwwnye huu uzi apuuzwe.
Nimekutapeli kivipi ndugu Mbona unanipa sifa siyo yangu
Kwanini unichafue nimekukosea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira mama
Happy Womens' Day
na CCM ndo watakao iangamiza nchi kwa kuleta machafuko, angalia kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa walichokifanya, kama siyo uungwana wa kijinga wa watanzania wa kukubali kudhulumiwa haki zao hiyo tu ilikuwa ni tiketi ya kuipeleka nchi kwenye machafuko.
Msimuliaji wa kisa hiki kuna jambo moja la maana sana kalielezea kuwa ukiona vyama vya siasa vimeanzisha vikundi vyao vya ulinzi ujue kuwa imani kwa jeshi la polisi imekwisha na kinachofuata hapo ni nchi kuingia kwenye machafuko.
Nterahamwe kikosi kikuu cha mauaji kilikuwa ni kikundi cha ulinzi kilichoanzishwa na chama tawala na ndicho kilichoendesha mauaji ya hatari sana nchini Rwanda ambayo kwa kiasi fulani na mimi niliyashuhudia kwa kuwa nilikuwa karibu na maeneo hayo ndo maana sina swali lolote kwa msimuliaji wa kisa kwa kuwa na mimi niliguswa.
Ukiachilia mauaji ya kuuawa kamanda Mawazo, kwa macho yangu nimeshuhudia wagombea 2 wa upinzani wanapigwa mapanga mbele yangu na vijana wa kikundi cha ulinzi cha CCM katika uchaguzi wa serekali za mitaa wa mwaka 2014 kwa kuwa tu CCM walitaka wapite bila kupingwa.
Hata hivi vikundi vya ulinzi ndani ya vyama waanzilishi walikuwa ni CCM.
PK alikuwa kamanda kwenye jeshi la Uganda, akihusika moja kwa moja Vita ya kumuweka madarakani M7.
Alafu hapa kwetu unakuta kamtu kwa uroho wa madaraka eti tutanzisha machafuko. PumbavuBalozi kaniacha hoi kwa kweli, kwanza angeweza kujiokoa na kusepa mapema tangu wakiwa Kigali, ila akaamua kuondoka na msululu wa watanzania wenzake, lori 24 si mchezo watanzania walikuwa wengi sana.
Kuwapigania wale watoto aliudhihirisha umama haswaa! Acha hawa wa kisasa wanaokimbia familia na kuacha watoto na baba zao! Upendo wa mama kwa mtoto una thamani kubwa mno.
Nimewaza mengi mno kwa yule muhutu aliyeamriwa kumchinja ndugu yake, badala yake akamkabidhi panga nduguye na kumwekea shingo ili afe yeye! This was a kind of great love! Atakuwa aliingia mbinguni moja kwa moja.
Nawaza zaidi wale watu walobakia ubalozini kwa kukosa papers, nini kiliwapata!
Vita!!....acha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimchukie yeyote Kati ya hao Bali waombee tu kwa mungu siku moja waelewane , nilikuwa Benako_ngara kwenye mishe zangu siku moja nilikuwa na muuliza dada moja kwa kitusi tukiwa kwenye mgahawa unaonaje itungwe Sheria kila Mtusi lazima amuoe Mhutu na Mhutu lazima amuoe mtu jibu alilonijibu nusu ngumu zirushwe aise hapo ni Tanzania he ingekuwa Rwanda so anganipeleka lockupKila nikisoma mara namchukia mhutu mda mwingine namchukia mtuts ila ngoja iishe lakini naona wa tutsi problema.
Mpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu kwa kumjibuSubiri amalize stori yake ndio uanze kumbishia, kunasehemu amesema amewahi kufungwa Zambia miaka mitatu jela kwa biashara ya vyuma chakavu,. Hivyo anaonekana anamengi ya kusimulia mtu wa umri wa miaka 55 jua amepitia mengi kwenye maisha..
Kama na wewe ulikuepo huko anzisha uzi wako kwa uliyoyaona, sio unakuja kubisha hapa kwa paniki bila maelezo ya kueleweka..
Hata kama alikuwa Dereva lakini mwisho wa siku ni kusimulia ili Watanzania tujifunze, ili tuweze kuepukana na vikundi vya kikabila vinavyoletwa na Gwajima kupitia Wasukuma...vikundi vya Green gad vya CCM.
Maana hivyo vikundi siku vikikabidhiwa silaha havijuagi diplomasia zaidi ya kuua tu..!
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.
Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.
Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu kagame hakujipanga "msituni" bali alikua na back up ya serikali za kitutsi za Uganda na Burundi ambao pia baada ya kushika hatamu walimsaidia kuwateketeza wahutu waliokimbilia huko DRC.
Wahutu changamoto ni kwamba hawapo organized wala kimkakati kila mtu anapambana kivyake sasa ambacho wanaweza ni kutumia back up ya serikali za kihutu mfano Nkuruzinza na walitakiwa wahakikishe DRC anashinda mtu ambaye hayuko puppet wa Kagame!! Wamechelewa sana.
Maana kagame wakimvamia tu Museveni na Magu watamsaidia so watafeli!! Hapo bado DRC itawafukuza..... Ila kagame na watutsi walikua makini kabla ya uvamizi wanahakikisha serikali za jirani zipo mfukoni.
Hata alopovamia wahutu DRC alihakikisha ameshaongea na kaunda wa Zambia na Dos santos wa Angola kuwa wasiingilie vita. Sasa wahutu hawana ushawishi huo kwenye serikali zetu hivyo vita itakua ngumu sana
Fursa yao pekee ni kuhakikisha Nkuruzinza hatolewi kwa gharama yoyote lasihivyo ndio utakua mwisho wa ndoto zao kurudi Rwanda.
Kuna watu kama wewe umejaza ujinga kichwani mwako hadithia yako. Nadhani unayo ya kukata kiuno kwenye sita kwa sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nineona hao ndo wana matatizo sema kama ulivyosema ni kuwaombea mungu wasiuane tena.Usimchukie yeyote Kati ya hao Bali waombee tu kwa mungu siku moja waelewane , nilikuwa Benako_ngara kwenye mishe zangu siku moja nilikuwa na muuliza dada moja kwa kitusi tukiwa kwenye mgahawa unaonaje itungwe Sheria kila Mtusi lazima amuoe Mhutu na Mhutu lazima amuoe mtu jibu alilonijibu nusu ngumu zirushwe aise hapo ni Tanzania he ingekuwa Rwanda so anganipeleka lockup
Sent using Jamii Forums mobile app