Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Vita Rwanda bado inaweza kutokea tena. Hivi umoja wa mataifa sioni kazi yake. Hii ndio ilikuwa kazi kujaribu kwa kila hali kusawazisha mahala penye hatari ya vita kama ilivyo Rwanda. Rwanda kuna vita vitakuja kutokea. Wahutu wako kimya lakini wana kinyongo na mtusi balaa. Umoja wa mataifa ungefanya jambo uwakutanishe hizi nchi mbili Rwanda na Burundi. Wangefanya makubariano either Rwanda ikaliwe na Watusi wote na makabila madogo madogo rafiki na Watusi na Burundi ikaliwe na Wahutu tu na makabila madogo madogo rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chuki waliyonayo baina ya Hutu na Tutsi naifananisha na ishu ya mashariki ya Kati Israel na Palestine. Story zao km zinafanana vile..
 
Nimesema CCM tuwaondoeni mapema hata kama kufa tutakufa wachache hiki chama ni hatari hasa viongozi wake wako tayari kuua mtu anaewapinga. Itakiwaje kwenye chaguzi hizi ni HATARI polisi wanafuata maelekezo tu.
Kuna kundi greenguard lilionekana moro wanafanya mazoezi ni hatari hawafai hawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kimahaba hadi nimetoka udenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
PK alikuwa kamanda kwenye jeshi la Uganda, akihusika moja kwa moja Vita ya kumuweka madarakani M7.

'89-'93 Uganda walipokea silaha Mara 10 zaidi ya zilizoingia toka Uhuru wao kutoka Marekani.

Sehemu ya kutosha ya silaha hizo ziliwekwa Mbarara..

Mbarara ilikuwa arsenal & launching platform ya RPF.

Ni ngumu Sana rebels kushinda jeshi la nchi, RPF lilikuwa jeshi kamili lisilokuwa na nchi, mpaka US walipomruhusu M7 awape Rwanda
 
Alafu hapa kwetu unakuta kamtu kwa uroho wa madaraka eti tutanzisha machafuko. Pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikisoma mara namchukia mhutu mda mwingine namchukia mtuts ila ngoja iishe lakini naona wa tutsi problema.
Usimchukie yeyote Kati ya hao Bali waombee tu kwa mungu siku moja waelewane , nilikuwa Benako_ngara kwenye mishe zangu siku moja nilikuwa na muuliza dada moja kwa kitusi tukiwa kwenye mgahawa unaonaje itungwe Sheria kila Mtusi lazima amuoe Mhutu na Mhutu lazima amuoe mtu jibu alilonijibu nusu ngumu zirushwe aise hapo ni Tanzania he ingekuwa Rwanda so anganipeleka lockup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa mtazamo hasi hawaishi, wako huru pia waachwe
Sent using Jamii Forums mobile app
 

wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.

Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ahsante mkuu kwa kumjibu
 
Kuna watu kama wewe umejaza ujinga kichwani mwako hadithia yako. Nadhani unayo ya kukata kiuno kwenye sita kwa sita
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.

Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemshtukia huku unapoteza muda kuisoma?
Akili yako huwa unaijua mwenyewe
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.

Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Burundi wana uchaguzi mwezi May mwaka huu Peter kashakubali kuachia nafasi ya urais ila hadhi atakayobaki nayo ni sawa na makamu wa Rais wa Bongo (nafasi yake ndani ya chama Tawala CNDD-FDD, tamka Sindede Efudede itachukuliwa na swahiba wake wa siku nyingi Evariste Ndayishimiye).

Hali ya kisiasa kwa sasa ni yenye tension kubwa sana hasa ukilinganisha na kurejea yale mambo yaliyotokea mwaka 2015 mara baada ya uchaguzi na lile kufeli kwa jaribio la kumpindua Peter, raia wa Kirundi wamejihami na wako tayari kwa lolote kwa sasa.
 
Mi nineona hao ndo wana matatizo sema kama ulivyosema ni kuwaombea mungu wasiuane tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…