Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Nadhani ni bora ujikite zaid katika kuelezea story yako ya uliyoyashuhudia mwenyewe huko kwa PK hawa watu wengine wanakuja kukutoa tu kwenye reli kujibizana nao ni matumizi mabaya ya muda maana unachokieleza ni uliyoyashuhudia mwenyewe ukiwa huko na sio historia ya machafuko ya Rwanda
 
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.

Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe humu kuna unalotafuta huna lolote umeingia humu kila mtu unamkwaza sasa tumekushtukia badala ya hii comment sikujibu na nawashauri wote unaowatukana wakupuuze mnyarwanda.
 

Umeongea kitu sahihi kabisa.

Mambo yaliyofanywa na interahamwe kule Rwanda ni sawa na yaliyofanywa na vijana wa imbonerakule pale Burundi.
 
Dada umeongea kitu kizuri sana ndio maana mimi huwa nasema pamoja na kwamba Magu ana makosa yake, lakini ukisikia makelele mengi ya kumtukana na kumlaumu, mengi ya hayo makelele yanatoka kwa lile kabila lililojiona special, lilojiona wao ndio wamesoma, wao ndio wanajua biashara, wao ndio wanajua kuajiri na kuajiriwa kwenye ofisi za umma.

Magufuli kawakomesha na hii si kuwaonea bali kuepusha kama yale ya Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wakirudi wanauwa wote halafu wanawafukia kwenye kaburi moja.nina rafiki interahamwe alihamia hapa tz..alinihadithia..cha ajabu uchaguzi wa tz anapiga kura..na namba ya nida anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
umemripoti mamlaka husika?,wewe pia ni shemu ya tatizo
 
Huyu ni kichaa apuuzwe soma comment zake zote ana attack watu sijui ana mimba au hakojoleshwi vizuri?

Unakumbuka wakati unajinyea kisha unatwazwa kwenye beseni wakati bado uko mchanga, makamasi puani...
 
Mkuu Kwa sasa Museven na Kagame haziivi kbsaa.. nA mipaka ishafungwa Uganda na Rwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagame alifanya vizur Sana kuwamaliza aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wakirudi wanauwa wote halafu wanawafukia kwenye kaburi moja.nina rafiki interahamwe alihamia hapa tz..alinihadithia..cha ajabu uchaguzi wa tz anapiga kura..na namba ya nida anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
umemripoti mamlaka husika?,wewe pia ni shemu ya tatizo[/QUOTE]Sitaenda mbinguni..ana familia ya watoto 4.alioa mtanzania.sitaki kuwa chanzo cha matatizo ya hii familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwa sasa huko Rwanda wahutu na watutsi hawahimizwi kuoana kama njia mojawapo ya kufuta chuki kati yao?
 
Mkuu Kwa sasa Museven na Kagame haziivi kbsaa.. nA mipaka ishafungwa Uganda na Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa tu hizo, walianza beef tokea 1st and 2nd Congo War miaka ya 90 ndio sembuse sahivi. Watutsi pamoja na chuki zao ila linapokuja suala la maslahi yao wote huungana.

Trust me Museveni licha ya kuwa na beef na kagame Ila hayuko tayari kuwa na nchi ya wahutu kma jirani yake!! Ni tishio kwa usalama wa-Hema kuendelea kutawala Uganda.

Tunaita adui wa adui yako ni rafiki. Rejea kisa cha Urusi na adui yake Ujerumani ilipokuja suala la kuvamia poland wote walisupportiana kuimaliza!!
 
Dah, waliwauliza maswali gani kabla hawajampa sumu? Kwa iyo kama sio kuwa mtz wangekunywesha na wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho mbaya chuki njaa maisha magumu vinamtesa wala usishangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano Rwanda after kagame akaingia muhutu Uganda itatishika na nn..why Museven aogope muhutu..,?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angejua nini boss, nini kilikupata? Wewe una dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…