zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hapana, na mbaya zaidi kuna program ilianzishwa mwaka 2013 ambayo ilitaka kila mhutu aombe msamaha kwa makosa ya wazazi/ndugu zao mwaka 1994!! Ili eti nchi ipatane..... Hayo yanatokea huku kila mwaka April inaadhimishwa mauaji ya Watutsi pekee huku ya wahutu yakipuuzwa.Vipi kwa sasa huko Rwanda wahutu na watutsi hawahimizwi kuoana kama njia mojawapo ya kufuta chuki kati yao?
Mkuu Museveni alidhamini kundi linaitwa RCD (ilipogawanyika) na UPC ili kulinda maslahi ya Uganda huko DRC.Mfano Rwanda after kagame akaingia muhutu Uganda itatishika na nn..why Museven aogope muhutu..,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaenda mbinguni..ana familia ya watoto 4.alioa mtanzania.sitaki kuwa chanzo cha matatizo ya hii familia.umemripoti mamlaka husika?,wewe pia ni shemu ya tatizo
Mkuu kama utagundua ukisoma comments zote kuna watu ambao walikuwepo Kule wanaongezea nyama kwenye uzi. So kusoma comments zote kuna faida pia kuna wehu wanachekesha humu.Kwanini una angaika kusoma macomenti yote kutafuta mwendelezo wakati unacho takiwa ni kuingia kwenye kurasa za mleta Uzi kwa kugusa jina lake ,kisha inaingia ndani unaona anavyo post na kufuatilia bila usumbufu ,
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamuziki yupi?Hapana, na mbaya zaidi kuna program ilianzishwa mwaka 2013 ambayo ilitaka kila mhutu aombe msamaha kwa makosa ya wazazi/ndugu zao mwaka 1994!! Ili eti nchi ipatane..... Hayo yanatokea huku kila mwaka April inaadhimishwa mauaji ya Watutsi pekee huku ya wahutu yakipuuzwa.
Kwa staili hii ya kuendelea kuyataja haya majina chuki hazitoisha. Yule mwanamuziki wa gospel alipinga hili leo hayupo tena duniani!!
Hahahah, dah sijui unewaza nini mkuuHauta amini siku utakayogundua kuwa huenda balozi ndiyo huyu bi faiza mnayemdhihaki hapa jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizito Mihigo ni muimba Gospel na alikuwa ndio anatumika kuimba nyimbo ya taifa kwenye dhifa za kitaifa. Alikua pia family friend wa kagame family!!mwanamuziki yupi?
Hivi yule mwanamuziki alikuwa mhutu au tutsi?Hapana, na mbaya zaidi kuna program ilianzishwa mwaka 2013 ambayo ilitaka kila mhutu aombe msamaha kwa makosa ya wazazi/ndugu zao mwaka 1994!! Ili eti nchi ipatane..... Hayo yanatokea huku kila mwaka April inaadhimishwa mauaji ya Watutsi pekee huku ya wahutu yakipuuzwa.
Kwa staili hii ya kuendelea kuyataja haya majina chuki hazitoisha. Yule mwanamuziki wa gospel alipinga hili leo hayupo tena duniani!!
Hayo mambo mnayaona nyie watu wa kaskazini na hii yote ni kutokana na kujina nyie ni special kwa hiyo mnaona kama mnaonewa na utawala huu.Na kuna kitu kinaendelea kwa sasa, tunagawanywa kutokana na maeneo tunayotoka, japo sioni yakifika huko kwenye chuki ila sioni kama ina afya nzuri kwa taifa. Ukanda unaweza kutugawa kwa kiasi kikubwa tu, Kanda ya ziwa, Kanda ya kaskazini, Kanda ya kati na Kanda ya kusini. Na inasemekana Meku ndio aemeleta haya.
Dada umeongea kitu kizuri sana ndio maana mimi huwa nasema pamoja na kwamba Magu ana makosa yake, lakini ukisikia makelele mengi ya kumtukana na kumlaumu, mengi ya hayo makelele yanatoka kwa lile kabila lililojiona special, lilojiona wao ndio wamesoma, wao ndio wanajua biashara, wao ndio wanajua kuajiri na kuajiriwa kwenye ofisi za umma.
Magufuli kawakomesha na hii si kuwaonea bali kuepusha kama yale ya Rwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule mwanamuziki alikuwa mhutu au tutsi?
Barrier hazikuwa nyingi kihivyo zilikuwa mbili tu na maaskari walikuwa wanahangaika na malori kuliko hivyo vigari vidogo vya abiria.
Halafu napata mashaka kama kweli ulikuwa nimwanabarozi,kujua vizuizi vilivyopo kasumbalesa mpaka Lubumbashi kote huko ulifuata nini tena na gari wakati ubalozi upo kinshasa maelfu ya km kutoka mpaka wa Zaire(Kongo) na Zambia.
Mi nadhani useme ukweli tu kwamba wewe ni wa malori mwenzangu sio dhambi.
Na sisi watu wa malori tuna exposure kubwa zaidi kuliko wapanda ndege hivyo usione haya kusema wewe ni dereva.
Pia wakati wa machafuko nyie mnaojiita mabalozi mlijifungia ktk balozi zenu sisi baadhi yetu ndio tuliotekwa nyara tukazuiwa,bidhaa zikaibwa na baadhi ya nyakati tulishuhudia live watu wakiuawa. Na ukiruhusiwa kurudi kwenu unakuta maiti zimezagaa barabarani,mwanzoni tulikuwa tunazisogeza kwa kuzipa heshima ya kibinadamu lakini kwa jinsi zilivyokuwa nyingi tukawa tunazikanyaga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.
Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kalabaho,! Dunia inabadirika mama,Acha inferiority complex umejuaje wanapiga kelele watu wanachapa kazi nyie mwasema wanajioma na akili sio wakiona Wana akili tu, ni kweli wako vzuri kila sector not only in Tanzania, but globally nyie jipeni moyo magu eti anawakomesha msijipange kujituma kufanya kazi kwa bidii na kuwekeza kwenye elimu na biashara wengine wakipambana mje humu kulia Lia eti wakiona, hata hyo magu hzo position za watu wake 90% na kitu zimebadilisha Nini Kanda ya ziwa kuanzia poverty level, infrastructure licha ya kuwa ni ukanda wenye madini.
Acheni chuki kwa makabila mengi na kusimgizia upendeleo Mara wamishionary unafikiria dunia hii Kuna kitu kirahisi Tena tumepata Uhuru kila sehemu ilikuwa priority Tena Nyerere mikoa ka kagera na Kilimanjaro pass mark ilikuwa kubwa ili kubalance na mikoa mingine hata waliofeli waliendelea je wako wapi.
Msiwe mnatumia hisia rather than use logic, inferiority complex inawatesa Sana washamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimruhusu shetani akutumie kuvuruga uzi wetu
BANGO JEUPE dalali tapeli wa nyumba za kupanga Dar.
Nimehangaika Sanaa na dunia kutafuta hela mkuu ,sasa nimezeeka acha tu nipumze .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutsi