zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hapana, na mbaya zaidi kuna program ilianzishwa mwaka 2013 ambayo ilitaka kila mhutu aombe msamaha kwa makosa ya wazazi/ndugu zao mwaka 1994!! Ili eti nchi ipatane..... Hayo yanatokea huku kila mwaka April inaadhimishwa mauaji ya Watutsi pekee huku ya wahutu yakipuuzwa.Vipi kwa sasa huko Rwanda wahutu na watutsi hawahimizwi kuoana kama njia mojawapo ya kufuta chuki kati yao?
Kwa staili hii ya kuendelea kuyataja haya majina chuki hazitoisha. Yule mwanamuziki wa gospel alipinga hili leo hayupo tena duniani!!