The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Yaani ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda ulikuwa Kinshasa DRC!! Ama umechanganya habari mkuuBarrier hazikuwa nyingi kihivyo zilikuwa mbili tu na maaskari walikuwa wanahangaika na malori kuliko hivyo vigari vidogo vya abiria.
Halafu napata mashaka kama kweli ulikuwa nimwanabarozi,kujua vizuizi vilivyopo kasumbalesa mpaka Lubumbashi kote huko ulifuata nini tena na gari wakati ubalozi upo kinshasa maelfu ya km kutoka mpaka wa Zaire(Kongo) na Zambia.
Mi nadhani useme ukweli tu kwamba wewe ni wa malori mwenzangu sio dhambi.
Na sisi watu wa malori tuna exposure kubwa zaidi kuliko wapanda ndege hivyo usione haya kusema wewe ni dereva.
Pia wakati wa machafuko nyie mnaojiita mabalozi mlijifungia ktk balozi zenu sisi baadhi yetu ndio tuliotekwa nyara tukazuiwa,bidhaa zikaibwa na baadhi ya nyakati tulishuhudia live watu wakiuawa. Na ukiruhusiwa kurudi kwenu unakuta maiti zimezagaa barabarani,mwanzoni tulikuwa tunazisogeza kwa kuzipa heshima ya kibinadamu lakini kwa jinsi zilivyokuwa nyingi tukawa tunazikanyaga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watusi Wahutu si Makabila tofauti mkuu, ni Aina ya kazi walizokuwa wakifanya mmoja alikuwa mkulima mwingine mfugaji ila ni Kabila mojaVita Rwanda bado inaweza kutokea tena. Hivi umoja wa mataifa sioni kazi yake. Hii ndio ilikuwa kazi kujaribu kwa kila hali kusawazisha mahala penye hatari ya vita kama ilivyo Rwanda. Rwanda kuna vita vitakuja kutokea. Wahutu wako kimya lakini wana kinyongo na mtusi balaa. Umoja wa mataifa ungefanya jambo uwakutanishe hizi nchi mbili Rwanda na Burundi. Wangefanya makubariano either Rwanda ikaliwe na Watusi wote na makabila madogo madogo rafiki na Watusi na Burundi ikaliwe na Wahutu tu na makabila madogo madogo rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli punguani, kusema hivyo kunahusiana vipi na komando hafi kwa risasi?!sasa unapo shadadia kuwa eti commando mmoja ni sawa na wanajeshi 100 unakua na akili timamu kweli?
Hapana mkuu. Ni tofauti kabisa hata maumbile yao. Mhutu ni mweusi,ana mwili mkakamavu,mtu ya kazi hasa. Mbantu halisi,sawa na Afrika magharibi na south Africa. Lakini Mtusi ni lain sana,mweupe,goigoi mtu ya ofisiniWatusi Wahutu si Makabila tofauti mkuu, ni Aina ya kazi walizokuwa wakifanya mmoja alikuwa mkulima mwingine mfugaji ila ni Kabila moja
Nkurunziza ni mixture mhutu na mtutsi. Yeye na Kagame ni wazalendo waliopewa sifa mbaya ya udikteta.Hapa sasa nimepata mwangaza. Nashukuru. Naanza kuelewa kwanini Nkurunzinza hachomoki Burundi.
We kweli punguani, kusema hivyo kunahusiana vipi na komando hafi kwa risasi?!
Nimesema hivyo kwasababu nakijua na nipo tayari kuelezea nikimaanishacho. We unayeshi tu ilimradi unakula, ukishiba unakuja kubishana hapa na smartphone yako na kulala.
Hii sio level yako na wala hustahili kujua chochote kubiduana na medani hii inayotegemewa katika swala zima la Ulinzi na usalama wa nchi.
Maaakibuyu....
Dah! Kijiti jua kali noma sanaHizo maiti kibao ni kama ngapi na ilikuwa ni akinanani kwa mlivyo waona
Sent using Jamii Forums mobile app
Taylor ni mzuri kwa hiyo fani bunduki sana.
ila kilichotokea Rwanda usipime. Jamaa wanasema usipoteze muda na risasi kata miwa tu fasta. Hapo ni mapanga shaa, jembe la kichwa, nyundo sekunde tu watu hao wamemaliza kazi wanaangalia next station. Unakuta wanapigiwa call inyenzi wako 200 shule flani nendeni kazini unaambiwa wakifika pale hamna maswali.
Kwa kweli watusi wana haki kuhate hao jamaa interahamwe.
Ile hata mjerumani alichofanya Auschwitz haifiki.siku 100 tu mtu milioni+ ziliondoka
walikua na unyama wao pia wa kula watu pia unyama unyama wa aina yoyote vitani haukosekani
Pia ni miongoni mwa notorious warlords wa africa.. Ningependa kama kuna mtu alikuwaga huko atusimulie
Hapana wapo watusi pia ila sidhani wanazidi 20%. Ila watutsi wameitawala zaidi Burundi licha ya uchache wao ingawa kwa sasa nguvu ipo kwa wahutu.
Mkuu hata hao Tutsi walichinja wahutu sana maeneo walioteka tena huko DRC walikua wanavamia makambi ya wakimbizi ni kuchinja tu ili kelele za risasi zisifike mbali, actually hutu massacre kuanzia Kibeho mpaka Uvira hadi goma ni zaidi ya 1 Million kwa takwimu za UN. Mauaji yalianza august 1994 mpaka 2003 baada ya 2nd congo warTaylor ni mzuri kwa hiyo fani bunduki sana.
ila kilichotokea Rwanda usipime. Jamaa wanasema usipoteze muda na risasi kata miwa tu fasta. Hapo ni mapanga shaa, jembe la kichwa, nyundo sekunde tu watu hao wamemaliza kazi wanaangalia next station. Unakuta wanapigiwa call inyenzi wako 200 shule flani nendeni kazini unaambiwa wakifika pale hamna maswali.
Kwa kweli watusi wana haki kuhate hao jamaa interahamwe.
Ile hata mjerumani alichofanya Auschwitz haifiki.siku 100 tu mtu milioni+ ziliondoka
Mkakati huo ungefika mpaka Tanzania na ungeishia Kenya kwa kuwa mpango uliokuwepo ni kuziweka nchi zote hizo katika himaya ya kitusi.
Punguza kuangalia muvi mkuu.Sijui ni umaskini? Kutokujali na kupuuzia kwa serikali?? au tu kutokujua hatari waliyokuwemo raia wa Tanzania pale ubalozini, yaani mimi nafikiri ilitakiwa zishuke helicopter za JWTZ pale ziwachukue raia na kurudi. Safari ya uokoaji kwa usafiri wa malori ilikuwa ni ya hatari kubwa sana, maana kuyasoma tu waliyokuwa wanayapitia siku za mwisho za kuokolewa pale najisikia vibaya sana sijielewielewi nafikiria wahanga wale walikuwa na hali gani, ni jehanum ya duniani.
Sibishani na dume linaloona fahari kutambulika kama kuku jike kwenye jamii kubwa ya wastaarabu kama JF. Pambana na hali yakouna akili timamu kweli?