I see duniani kuna mambo mengi mazito sana ya kuogofya ya kikatiri, yanawapitia binadamu mahala popote,muda wowote haya-repotiwi. Hapo ndipo utajua life is fair. Big up sana kwa huyo mama barozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho. Anastahiri sifa kabisa huko aliko. Ana roho ya kijasiri zaidi ya wanaume wa dar. Alikuwa jasiri haogopi kifo,alikuwa jasiri tayari kupigania anachokiamini, ikimbidi kifo. Mwisho nasema vita vipo tena Rwanda.
KG amepandikiza chuki sana mioyoni mwa wahutu,hawawezi kusamehe kamwe. Sasa basi njia ya kunusuru yajayo inabidi Tanzania kupitia UN tuzivamie hizi nchi mbili Rwanda na Burundi,then tuzifanye ni mikoa ya Tz. Tutawasambaza wengine Lindi,mtwala,mara,mbeya huko ile mikoa yetu miwili mipya Rwanda na Burundi itaunganishwa itakuwa ni eneo moja kwa ajili kambi na mafunzo ya kijeshi tu. JKT wote watakuwa mafunzo yao ni huko
Sent using
Jamii Forums mobile app