Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Yaani East Africa iwe chini ya tutsi?mbona hilo suala ni gumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo gumu, lakini ndo mpango uliokuwepo na hilo nililipata kutoka kwa askari wa Uganda aliyekuwa anapigana vita kwa upande wa RPF na askari mwingine ambaye sikumbuki nchi yake ila alikuwa ni miongoni mwawale waliokuwa wanapigana kumpindua Kabila aliyempindua Kukungwendu.
 
Bossless
kwanza nikushukru kwa simlizi nzr, japo ulipaswa kwenda ndani kidogo kama uliacha kazi kwa hiari Au kwa ile stress ya rwanda...

kwa umri wako huwezi kuwa umestaAfu kwa mjib wa umri....

ukisoma btn the lines, unaweza kuona kama umeikAtishA story kwa sabab zA kiusalama....
Hhhhaahhaaahhhaaa.....toka niescape Rwanda sijawahi ogopa chochote duniani in short mimi ni kama nusu mfuu. Unaweza nitukana nikakasirika Sana lakini ukaniwekea bunduki kichwani nikacheka tu so najua kifo kuliko maelezo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see duniani kuna mambo mengi mazito sana ya kuogofya ya kikatiri, yanawapitia binadamu mahala popote,muda wowote haya-repotiwi. Hapo ndipo utajua life is fair. Big up sana kwa huyo mama barozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho. Anastahiri sifa kabisa huko aliko. Ana roho ya kijasiri zaidi ya wanaume wa dar. Alikuwa jasiri haogopi kifo,alikuwa jasiri tayari kupigania anachokiamini, ikimbidi kifo. Mwisho nasema vita vipo tena Rwanda.

KG amepandikiza chuki sana mioyoni mwa wahutu,hawawezi kusamehe kamwe. Sasa basi njia ya kunusuru yajayo inabidi Tanzania kupitia UN tuzivamie hizi nchi mbili Rwanda na Burundi,then tuzifanye ni mikoa ya Tz. Tutawasambaza wengine Lindi,mtwala,mara,mbeya huko ile mikoa yetu miwili mipya Rwanda na Burundi itaunganishwa itakuwa ni eneo moja kwa ajili kambi na mafunzo ya kijeshi tu. JKT wote watakuwa mafunzo yao ni huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Maslahi ya wazungu yatakuwa wapi katika hilo? Kama hakuna maslahi yao itakuwa ndoto tu. Madini mengi yanayoibwa Congo yanapita njia ya ardhini ipo katika nchi mbili tu Rwanda na Burundi basiii .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mzee wangu. Ebu kidogo huyu kizito mihigo (RIP) yeye alipinga nn kama una info yyte
Alihimizo maridhiano ya kweli kupitia nyimbo zake ,sio haya fake ya kusema watusi ndo walikufa tu akawauzi wenye nchi dawa yake ikawa jera kwanza halafu kifo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alihimizo maridhiano ya kweli kupitia nyimbo zake ,sio haya fake ya kusema watusi ndo walikufa tu akawauzi wenye nchi dawa yake ikawa jera kwanza halafu kifo .

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaa, nashkuru mzee wangu. Basi mm nakwambia haitofika 2050 bomu hilo la rwanda halijalipuka.
Wahutu walio wengi ni wanatanga tanga nchi jirani wakikimbia mkono wa PK, ukiachilia mbali dhana ya wengi kuongozwa na wachache.
 
wewe nae unapumbazwa unaonekana zuzu unakubali tu.
hivi na akili zako timamu (japo zipo robo kilo) unaamini kwamba eti commando mmoja ni sawa na wanajeshi 100!!!

kwamba risasi ikimpiga kichwani hafi?
kwamba gari lao likitupiwa grumeti halilipuki?
Peleka hizi akili zako za kitutsi na kihutu huko kwenu Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, wanasafari ndefu banyarwanda, ila wahutu waliwafyeka wenzao,,lazma hii chuki izidi kuku. Ukifuatilia historia watusi ndo walianzisha uhasama kwa kujimwambafai ilhal wao ni wachache. Sasa wenzao wakamaindi waktaka kujikomboa na utumwa na umwinyi wa hao jamaa. All in all mtusi ni mtata....mhutu nae ni mkatili sasa...ndo unataka umfute mwezako ktk uso wa ardhi. Hahaahah duh, hao jamaa walijengewa makambi hko Ngara saivi ni wamefungua mashyle na mavyuo., ngara pale 40% ya wakazi ni wanyarwanda. Unamkuta kabisa anasikiliza redio rwanda...sasa unajiuliza huyu nimtz kweli?
Iliwezekanaje mtutsi akajimwambafy wakati raisi alikuwa mhutu. Sio chuki tu na uvivu ambao hata wabongo wengi wanao kwa watu waliofanikiwa?
 
Stori utakua umeianzia katikati. Ianzie kabla ya kuja kwa mbelgiji. Yeye alvokuja alwakuta mtusi yuko juu akijimwambafai yy kaongeza tu mafuta. Ndo baadae wahutu wakaanzisha harakati ndo uhasama ukaazidi kumea.ww stori yako imeanzia kwa raisi mhutu Habyarimana.
Iliwezekanaje mtutsi akajimwambafy wakati raisi alikuwa mhutu. Sio chuki tu na uvivu ambao hata wabongo wengi wanao kwa watu waliofanikiwa?
 
Bossless Wakati RPF wanaichukua nchi kwa mtutu wahutu waliokuwepo ni kwamba walijisalimisha baada ya mziki kuwa mnene au niaje?

Na vipi kuhusu idadi yao wakati huo ilikua bado ni significant figure?
 
Hahahaaa ..mkono wa chuma,kila ikifika saa kumi na mbili wanajeshi wanajipanga barabarani Kigali nzima kwa tofauti ya mita 100 hawasemi wala kumgusa mtu tembea na ID masaa 24 ,ikifika saa sita usiku wakikukamata adhabu yako nikutembea nao au kukaa nao hapo hapo Hadi kuche ndo wanakuachia hakuna kesi ya uzururaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkono wa chuma ndio umeleta amani! Ila waafrika ukiwadekeza sana watauana kila siku, hivyo ni kuwapeleka kijeshijeshi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom