Ni jambo gumu, lakini ndo mpango uliokuwepo na hilo nililipata kutoka kwa askari wa Uganda aliyekuwa anapigana vita kwa upande wa RPF na askari mwingine ambaye sikumbuki nchi yake ila alikuwa ni miongoni mwawale waliokuwa wanapigana kumpindua Kabila aliyempindua Kukungwendu.Yaani East Africa iwe chini ya tutsi?mbona hilo suala ni gumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mzee wangu. Ebu kidogo huyu kizito mihigo (RIP) yeye alipinga nn kama una info yyteHata wahutu wa msimamo wa wastani walichinjwa kinyama na wahutu wenzao .nadhani umenielewa? R.i.p kizito mihigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhhaahhaaahhhaaa.....toka niescape Rwanda sijawahi ogopa chochote duniani in short mimi ni kama nusu mfuu. Unaweza nitukana nikakasirika Sana lakini ukaniwekea bunduki kichwani nikacheka tu so najua kifo kuliko maelezo .Bossless
kwanza nikushukru kwa simlizi nzr, japo ulipaswa kwenda ndani kidogo kama uliacha kazi kwa hiari Au kwa ile stress ya rwanda...
kwa umri wako huwezi kuwa umestaAfu kwa mjib wa umri....
ukisoma btn the lines, unaweza kuona kama umeikAtishA story kwa sabab zA kiusalama....
Mnapenda kututaja taja jamani. Inabadirika=Inabadilika
Maslahi ya wazungu yatakuwa wapi katika hilo? Kama hakuna maslahi yao itakuwa ndoto tu. Madini mengi yanayoibwa Congo yanapita njia ya ardhini ipo katika nchi mbili tu Rwanda na Burundi basiii .I see duniani kuna mambo mengi mazito sana ya kuogofya ya kikatiri, yanawapitia binadamu mahala popote,muda wowote haya-repotiwi. Hapo ndipo utajua life is fair. Big up sana kwa huyo mama barozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho. Anastahiri sifa kabisa huko aliko. Ana roho ya kijasiri zaidi ya wanaume wa dar. Alikuwa jasiri haogopi kifo,alikuwa jasiri tayari kupigania anachokiamini, ikimbidi kifo. Mwisho nasema vita vipo tena Rwanda.
KG amepandikiza chuki sana mioyoni mwa wahutu,hawawezi kusamehe kamwe. Sasa basi njia ya kunusuru yajayo inabidi Tanzania kupitia UN tuzivamie hizi nchi mbili Rwanda na Burundi,then tuzifanye ni mikoa ya Tz. Tutawasambaza wengine Lindi,mtwala,mara,mbeya huko ile mikoa yetu miwili mipya Rwanda na Burundi itaunganishwa itakuwa ni eneo moja kwa ajili kambi na mafunzo ya kijeshi tu. JKT wote watakuwa mafunzo yao ni huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Alihimizo maridhiano ya kweli kupitia nyimbo zake ,sio haya fake ya kusema watusi ndo walikufa tu akawauzi wenye nchi dawa yake ikawa jera kwanza halafu kifo .Nimekuelewa mzee wangu. Ebu kidogo huyu kizito mihigo (RIP) yeye alipinga nn kama una info yyte
Alihimizo maridhiano ya kweli kupitia nyimbo zake ,sio haya fake ya kusema watusi ndo walikufa tu akawauzi wenye nchi dawa yake ikawa jera kwanza halafu kifo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata watz wapo wengi sana kwenye system ya rwandaKama jk alipenyeza watu wake hizo nchi imekuwaje sasa iko v. versa kwamba watoto wa rwanda ndo wako kwenye tz system?
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka hizi akili zako za kitutsi na kihutu huko kwenu Rwandawewe nae unapumbazwa unaonekana zuzu unakubali tu.
hivi na akili zako timamu (japo zipo robo kilo) unaamini kwamba eti commando mmoja ni sawa na wanajeshi 100!!!
kwamba risasi ikimpiga kichwani hafi?
kwamba gari lao likitupiwa grumeti halilipuki?
Iliwezekanaje mtutsi akajimwambafy wakati raisi alikuwa mhutu. Sio chuki tu na uvivu ambao hata wabongo wengi wanao kwa watu waliofanikiwa?Duh, wanasafari ndefu banyarwanda, ila wahutu waliwafyeka wenzao,,lazma hii chuki izidi kuku. Ukifuatilia historia watusi ndo walianzisha uhasama kwa kujimwambafai ilhal wao ni wachache. Sasa wenzao wakamaindi waktaka kujikomboa na utumwa na umwinyi wa hao jamaa. All in all mtusi ni mtata....mhutu nae ni mkatili sasa...ndo unataka umfute mwezako ktk uso wa ardhi. Hahaahah duh, hao jamaa walijengewa makambi hko Ngara saivi ni wamefungua mashyle na mavyuo., ngara pale 40% ya wakazi ni wanyarwanda. Unamkuta kabisa anasikiliza redio rwanda...sasa unajiuliza huyu nimtz kweli?
Kumbe!Yes ni mtutsi pure kabisa wa western Uganda.
Tutsi wakiwa Rwanda na Burundi ila wakiwa Uganda ni Hima/Ankole, DRC ni Banyamulenge ama Hema/Bagegere.
So ni damu moja hao
kama husomi sasa kiherehere cha kukomenti unakitoa wapi?Ujinga wa hivi sisomi nimescroll hadi chini nashangaa kuona part 2 bofya link hii nikaachana nayo
Iliwezekanaje mtutsi akajimwambafy wakati raisi alikuwa mhutu. Sio chuki tu na uvivu ambao hata wabongo wengi wanao kwa watu waliofanikiwa?
Huo mkono wa chuma ndio umeleta amani! Ila waafrika ukiwadekeza sana watauana kila siku, hivyo ni kuwapeleka kijeshijeshi tuHahahaaa ..mkono wa chuma,kila ikifika saa kumi na mbili wanajeshi wanajipanga barabarani Kigali nzima kwa tofauti ya mita 100 hawasemi wala kumgusa mtu tembea na ID masaa 24 ,ikifika saa sita usiku wakikukamata adhabu yako nikutembea nao au kukaa nao hapo hapo Hadi kuche ndo wanakuachia hakuna kesi ya uzururaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungali ni mtoto.Ujinga wa hivi sisomi nimescroll hadi chini nashangaa kuona part 2 bofya link hii nikaachana nayo