Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

OP ni nani? Mara nyingi huwa natumia browser kuLog in JF, na Mara chache sana natumia App uko nakuta ID zina hiyo OP
 
Alishaandaliwa muda kuchukua madaraka toka Kigali, na wakati Baba yake anauawa hakuwepo DRC. 10 days baada ya baba yake kufariki alitua Kinshasa na ndege toka Kigali Rwanda na kukabidhiwa nchi. Rwanda ina mikono mrefu sana katika siasa za Congo
Mkuu hector samahani, unaweza elezea kdgo ugomvi wa mzee wa msoga, Kikwete na Kagame?? Shida ilkua ni nin??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu michango yenu ni muhimu sana angalau mmetufumbua macho vita hasa ni nini kwa raia. Ni kitu cha kutisha sana na tujiepushe mayo kwa kweli.

Hawa wakimbizi waliovuka boda je walitenganishwa Hutu peke yao ma Tusi peke yao au waliwekwa pamoja ?

Pia nimeuliza sana sijapata jibu kuhusu mgawanyo ktk teuzi za kazi na ajira na mambo ya kujiunga na vyuo bado ukabila unatawala maeneo hayo au ukiwa na vyeti vya ukweli unapenya popote ?

Nafuatilia hizi story pia sababu rafiki yangu alijiunga na NGO moja alipangiwa kwenda kugawa misaada kwenye moja wapo ya kambi wakimbizi wakadhani ni spy wakamchoma kisu wakamwua. Nilikuwa sielewi wakoje hawa watu angalau sasa napata mwanga.
 
Naitamani hii taarifa,maana ni kama Kagame alimchukia JK kwa kuwa alishindwa kuweka ushawishi wake hapa kwetu. Sasa katika awamu hii ya Jiwe ukaribu umerudishwa kwa nguvu zote. Isijekuwa Jiwe analishwa matango pori, wakati kagame akipenyeza watu wake katika nyadhifa zenye nguvu ya maamuzi...! Kajamaa kana nchi ndogo ila kiutawala kana-colonize Congo na hata Uganda ipo chini ya watusi kina mseveni. Tanzania wanaitamani ila ina ugumu wake.

Kuna yule Rais wa Tanzania Football Failure nae asijekuwa na hiden backgrounds, kesho kesho kutwa tukasikia anagombea political position... Watusi watakuwa wametamaraki eneo zima la maziwa makuu...

Mkuu hector samahani, unaweza elezea kdgo ugomvi wa mzee wa msoga, Kikwete na Kagame?? Shida ilkua ni nin??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah awa watuts hatar sana afrika mashariki na kati.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda nimuda kidogo mzee wetu kasahau mengine alafu hofu wasiwasi na uoga vilichangia..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mvivu wa kusoma jamaa kaelezea vizuri kabisa jifunze kusoma vitu kwa umakin
 
Kuweni na subira jameni.
Mwandishi anamalizia kuangalia ile muvi ya HOTEL RWANDA na SOMETIMES IN APRIL kisha aje kuendelea kutusimulia

yani tulitumia kama siku mbili hivi Dar-kahama .leo hii dar - Kahama unatumia siku moja umefika halafu utasikia mtu anasema nchini hii bwana hakuna maendeleo kabisa daa!!!
Bila kusahau hili ndio lilikuwa lengo lake.
Hili ni li BOT la JF
 

Sina uhakika kama hili ni suluhisho sahihi, Sio kila jambo lililofanikiwa mahala flani linaweza fanikiwa kokote. Maamuzi kama hayo mara nyengine huleta chuki sana, swala la ndoa ni personal sana it’s not wise kulingilia wakati mwingine .
 
Hizmajestry
Hapa kuna cha kujifanya.
Hata kama hawachukiani ila umeongea point inabidi kama nchi tujiangalie kwa jicho pevu...Hawa watu siyo wa mchezo kuwapa madaraka serikalini.
 
Exactly.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii website ina walakini, haikumtaja huyo mama. Kuna utofauti kiasi wa jinsi mleta uzi alivyomuelezea huyo balozi, na shaka yangu ni kuwa pengine wakati wa mauaji, huyo mama alikuwa anakaimu hiyo nafasi, japo yeye kaeleza kuwa tangu 1989 alikuwa ni balozi.
Kuna balozi ambaye hata kwenye website hakuwekwa jina lake, ni mama na alikuwa kipindi cha 1988/89 mpaka 1993 kama sijakosea.
Hata uki google mazingumzo ya amani ya Rwanda, japo yameandikwa Kinyarwanda/Kifaransa, ila utaona kila ikitajwa Tz na jina la huyo mama linakuwapo. Na alitokea bara sio visiwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe mbona hujamtaja! Kuna hatari yoyote ya ki-intelinensia?!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi hakuna historia ya ubalozi Rwanda kabla 2000’s kwa mujibu wa hiyo website ya serikari.

Lengo sio kuleta ligi na inategemea hii story wewe umeichukulia vipi au imekufunza nini unayo choice pia ya kumeza kila kitu.

Binafsi sikujua kabisa jinsi interahamwe ilivyokuwa inafanya kazi, muundo wake na kwamba hayo mauaji yalikuwa siri kwa miezi kadhaa humo ndani na yalianza muda kabla RPF kufika isipokuwa yalikuwa ayatangazwi.

Kwa ivyo uelewa wangu wa awali ulikuwa RPF walipoingia ndio kila mtu akaanza kumchinja mwingine ndani ya vita kutokana na mtazamo huo huo naively nilikuwa sielewi kwanini Tutsi wanadai wao ndio waliokufa wengi na niliona kama propaganda zao za kutawala tu.

Kupitia hii mada ndio nimejifunza nini kilitokea kwanza sasa aina maana na Tutsi pia awakufanya yao baadae.

Huo ni uelewa ambao naweza sasa kumwambia na mwingine siku ikitokea kwenye maongezi yetu ya bar hiyo topic imeibuka kawaida huwa tunaongea siasa na kumjengea ufahamu asiyekuwa nao ilikuwa vipi kwa sababu ni kitu nilicho ki verify na source zingine.

Hila siwezi kutoka hapo na kuanza kumuhadithia mtu kuhusu huyo balozi bila ya uthibitisho kulikuwa ata na ubalozi in the first place maana hujui na yeye ata muhadithia nani mbeleni ivyo ndio watu wanavyojengeana ujinga au kupeana dhana potofu ndani ya jamii kuhusu jambo fulani.

Ukitaka kuamini kila kitu hakuna shida, binafsi bila ya ushahidi wa mama balozi hizo sehemu alizotajwa ntakuwa naziruka katika harakati zangu za kujimwambafy huko bar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…