Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Point number 4&6,hii nchi ilikuwa vitani,
Njia ya kupita ili kujiikoa, ilitegemea usalama upo wapi,
Hebu fikiria Bongo, kuna vita baadhi ya vikosi vimeasi, na unataka kutoka Dar kwenda Dodoma, 466Km,hapo mbezi kuna mapigano makali ,
Ukaamua kutoka Dar ukaenda mpaka lindi, lindi masasi, masasi songea, njombe, makambako, iringa, ukaibuka Dodoma, zaidi ya km 1500!katika hari ya kukwepa balaaa njiani, ukimsimulia mtu kitu Kama hiki anaweza asikuelewe kabisa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bossless ameanza kuleta utata. Inawezekana kuna walakini kwenye hii story yake. Labda kadanganya sasa au alidanganya posts za nyuma, Idk which Is which.
Aje kuondoa huu utata please.
 
Basi Inawekana names + baadhi ya utambulisho mtoa mada katulambisha joker. Kuna fake details nyingi sana kwenye huu uzi kama mtoa mada atakua ni TISS kweli.
 

"Mshua wangu" alikuwa anafanya kazi Kigali kipindi hicho cha machafuko ya Rwanda na hadi vita rasmi vinaanza bado yeye na watz wenzake walikuwa hapo mjini Kigali....labda nikuhakikishie ofisi za ubalozi wetu zilikuwepo hapo Kigali kitambo kabla ya hiyo mwaka 1994 na hazikuanza hiyo mwaka 2000 unaosema eti kwamba ndiyo TZ ilifungua ubalozi wake Rwanda....Bongo kuna Info nyingi kuhusu nchi hazipo kwenye website za serikali hasahasa za miaka ya nyuma hadi ujiongeze mweyewe ndiyo utazipata
 
Basi Inawekana names + baadhi ya utambulisho mtoa mada katulambisha joker. Kuna fake details nyingi sana kwenye huu uzi kama mtoa mada atakua ni TISS kweli.

Maelezo yake kwamba TZ tulifunga mpaka wetu na Rwanda kipindi cha genocide ikapelekea wao wapitie Burundi border kuna walakini....sababu watz ninaowajua waliokuwepo Rwanda kipindi hicho cha machafuko walirudi Tz kupitia Rusumo border.....kwa ufupi hii story yake ina "coverings" nyingi kwasababu anazozijua yeye mwenyewe...siyo ya kumeza kama ilivyo
 
Mkuu Bossless naomba maelezo yako hapa kwa ufupi.
Natanguliza shukrani.View attachment 1393125
Sasa mkuu mbona unachimbua makaburi ambayo hayapaswi kuchimbuliwa....hizo comments kila mtu anazilopoka tu kutegemea na story ilivyo(kwake yeye alitaka aonekane mtoto wa kishua...si unajua tena feza)

Ila kwa kifupi kila mtu humu ashawahi kudanganya coz anaenijua humu...

Ambae hajawahi kudanganya ashoonye mkuu juu
 
Ulivyoongea Hivyi Imebidi Nikimbie Fasta Nikawaangalie Wanyarandwa Wangu Wawili Wa Enzi Izoo Chuonii...

Kumbee... Lakini Niseme Haka Kahutu Kalikua Karahisi Kukaminya, Ila Huyu Mtutsi Alinisumbua Sanaa Asee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Word!

Hivi, nini kilomsibu yule dada jamani.?!
 
Ahsante sana, na pole kwa misukosuko.
Umeyaona mengi hakika!

Wale wazungu hukuwahi kujua ilikuaje nao wakachinjwa.?!
Vipi kuhusu mafuta (Diesel) mlikua mnayapata wapi kujaza kwenye haya malory.?
 
Inasikitisha sana jamani duh, kweli vita visikie kwa watu, kuna siku mtaani kwetu majambazi walivamia ikapigwa chuma moja hewani,dadeq mbn nilirudi nlipotoka. Sasa we we ndugu yangu safari yote hiyo pole sana
 
Jamaa ame eleza vizur hap Point number 4&6,hii nchi ilikuwa vitani,
Njia ya kupita ili kujiikoa, ilitegemea usalama upo wapi,
Hebu fikiria Bongo, kuna vita baadhi ya vikosi vimeasi, na unataka kutoka Dar kwenda Dodoma, 466Km,hapo mbezi kuna mapigano makali ,
Ukaamua kutoka Dar ukaenda mpaka lindi, lindi masasi, masasi songea, njombe, makambako, iringa, ukaibuka Dodoma, zaidi ya km 1500!katika hari ya kukwepa balaaa njiani, ukimsimulia mtu kitu Kama hiki anaweza asikuelewe kabisa,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, hembu tupe kama kuna zaidi ya ile ya kurudishwa kwa watusi home kwao na maomesho mazito ya silaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna access na hizi copy nisaidie mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…