Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,702
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka story yako acha kihere hereMtoa mada kutoka rusumo hadi Kigali ni km 120 na sisi wenye malori tulikuwa tunatembea massa 6 - 7,na kinachosababisha tutembee kwa muda mrefu ni milima,yaani nimilima mitupu panda shuka kila kwa gari ndogo ukizidi sana itakuwa ni masaa 3 na huo utakuwa mwendo wa konokono wakati madereva was kule wanaendesha kasi sana.
Hivyo rudisha kumbukumbu zako muda ulioutaja kwa gari ndogo sio sahihi.
Ila ni kweli Nyamirambo ndio uswahilini kama ilivyo Buyenzi kule Bujumbura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada kutoka rusumo hadi Kigali ni km 120 na sisi wenye malori tulikuwa tunatembea massa 6 - 7,na kinachosababisha tutembee kwa muda mrefu ni milima,yaani nimilima mitupu panda shuka kila kwa gari ndogo ukizidi sana itakuwa ni masaa 3 na huo utakuwa mwendo wa konokono wakati madereva was kule wanaendesha kasi sana.
Hivyo rudisha kumbukumbu zako muda ulioutaja kwa gari ndogo sio sahihi.
Ila ni kweli Nyamirambo ndio uswahilini kama ilivyo Buyenzi kule Bujumbura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bossless,
We Muongo, ulienda mwezi WA sita hahahaha.
Vita imeanza mwezi WA nne imeisha mwezi WA Saba but wewe ulipata KAZI mwezi WA sita wakati serikali ya Rwanda imevurumishwa na Rpf na kukimbilia Gisenyi Kwa kina Haruna Niyonzima huku mapigano makali yakiendelea.
Anyways wakati unapata hiyo KAZI Rais wa Rwanda alikuwa anaitwa Nani?
Jibu huna Mpira uishie hapa.
" falsus in uno falsus in omnibus" false in one thing false in every thing.
@moderators futeni uzushi huu unachafua hadhi ya jf
Kutokana na kashfa na matusi ya baadhi ya memebers humu napenda kusitisha ushuhuda huu, niwaombe radhi tena na samahani sintoweza kuendelea bora nihamishie ushuhuda wangu kwenye another social network lakini sio humu jf. Mtu hajamaliza kuandika unatukanwa, anakashifiwa,sijui huu utamaduni sijui wawapi? Cha ajabu modereta wanakausha tu bila kukemea mwisho jf inaonekana imekuwa kijiwe cha wahuni. Asante sanaa. Naomba nami nibaki kuwa msomaji wa mada za wengine humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ame editBoss, unakoga nje?? soma kwa utulivu