Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Mtoa mada kutoka rusumo hadi Kigali ni km 120 na sisi wenye malori tulikuwa tunatembea massa 6 - 7,na kinachosababisha tutembee kwa muda mrefu ni milima,yaani nimilima mitupu panda shuka kila kwa gari ndogo ukizidi sana itakuwa ni masaa 3 na huo utakuwa mwendo wa konokono wakati madereva was kule wanaendesha kasi sana.
Hivyo rudisha kumbukumbu zako muda ulioutaja kwa gari ndogo sio sahihi.
Ila ni kweli Nyamirambo ndio uswahilini kama ilivyo Buyenzi kule Bujumbura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka story yako acha kihere here
 
Angalia mwaka uliotajwa na barabara zilikuwa vipi.
Mtoa mada kutoka rusumo hadi Kigali ni km 120 na sisi wenye malori tulikuwa tunatembea massa 6 - 7,na kinachosababisha tutembee kwa muda mrefu ni milima,yaani nimilima mitupu panda shuka kila kwa gari ndogo ukizidi sana itakuwa ni masaa 3 na huo utakuwa mwendo wa konokono wakati madereva was kule wanaendesha kasi sana.
Hivyo rudisha kumbukumbu zako muda ulioutaja kwa gari ndogo sio sahihi.
Ila ni kweli Nyamirambo ndio uswahilini kama ilivyo Buyenzi kule Bujumbura.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa atakuwa amerithi hasira toka kwa hao aliowashuhudia kaeni nae mbali asije akakumbushia.

Anakasirika nini, kisa comment ya usiemjua
 
Inaendea.. nilikua natembea nikakutana na demu mzuri wa kitusi nikampeleka guest nikampiga miti Sana hadi akakimbia na chupi.. mwingine aendeleze stori

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bossless,

We Muongo, ulienda mwezi WA sita hahahaha.

Vita imeanza mwezi WA nne imeisha mwezi WA Saba but wewe ulipata KAZI mwezi WA sita wakati serikali ya Rwanda imevurumishwa na Rpf na kukimbilia Gisenyi Kwa kina Haruna Niyonzima huku mapigano makali yakiendelea.

Anyways wakati unapata hiyo KAZI Rais wa Rwanda alikuwa anaitwa Nani?

Jibu huna Mpira uishie hapa.

" falsus in uno falsus in omnibus" false in one thing false in every thing.

@moderators futeni uzushi huu unachafua hadhi ya jf

Boss, unakoga nje?? soma kwa utulivu
 
Kutokana na kashfa na matusi ya baadhi ya memebers humu napenda kusitisha ushuhuda huu, niwaombe radhi tena na samahani sintoweza kuendelea bora nihamishie ushuhuda wangu kwenye another social network lakini sio humu jf. Mtu hajamaliza kuandika unatukanwa, anakashifiwa,sijui huu utamaduni sijui wawapi? Cha ajabu modereta wanakausha tu bila kukemea mwisho jf inaonekana imekuwa kijiwe cha wahuni. Asante sanaa. Naomba nami nibaki kuwa msomaji wa mada za wengine humu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unipatie link mkuu, story tamu inavyoonekana.
 
Back
Top Bottom