Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Huyo mpenzi alikuwa Hutu mbona ulisema mlitoka mziki mkasimamishwa na wahutu ukamwambia huyo msichana asiongee kitu chochote maana wakati huo Hutu ndiyo walikuwa na serikali fafanua kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
RPF walivoingia wakaanza kuua nao wahutu lakini wakawa wamechelewa dunia ikawa imeshajua na kuanza kufuatilia kwa karibu , ikumbukwe hata hapa mkuu wa majeshi Kama sijakosea General Mboma alitishia kuingiza majeshi Rwanda kuzima hii kitu akawa anasubiri final say atoe oda tu .kwa hiyo watusi wakaamua kudeal na wahutu kupitia mahakama za kihuni walizoziita AGACHACHA na hizi ndo zilinifanya nisimuone Tena mpenzi wangu yule niliporudi Rwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app