king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,639
- 2,066
Story siyo ya uongo ubalozi wa kimkakati wa tz nchini Rwanda alikuwa anawakilisha tume ya usuluisha huo mgogoro sababu ya kuto kupitia tz moja kwa moja inategemea upepo wa vita ,kitendo cha tz kufunga mpaka inaonyesha kulikuwa na majeshi yanapigana upande wa Rwanda unao pakana na tz ,pia inaonyesha umeshindwa kujua uzito wa mauaji ya Rwanda tatizo la usalama wa watz na balozi wetu alikuwa kwa majeshi rasmi ya tusi na hutu tatuzo lilikuwa kwa RAIA wenye siraha hasa hasa Hutu walipewa siraha ovyo ovyo za kila aina hao hawatambui balozi wala mzungu nikama majambazi tu ,ndiyo maana mleta mada alisimulia wahutu waliovamia ubalozi na kutaka kuua tusi walio kimbilia ubalozini kwetu lakini wanajeshi wa Hutu walikuja baadae pamoja na defenda iliyokuwa na mjemba7 hao masoja wa kuhutu waliona Watusi wapo ubalozini ila awakufanya chochote ndiyo ujue tatizo lilikuwa kwa magenge ya kihutu na tusi mitaani na majiani ,hata alipo sema defenda ilishambulia darajani na kuua ujue iliua RAIA wenye siraha maana Hutu soja na tusi soja awakuwa na tatizo na msafala wa tz ndiyo maana mwanzo wa safari walisindikizwa na Hutu soja na mwisho wa safari walisindikizwa na tusi soja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maelezo mengi uliyotoa ya kinadharia. Balozi wa Usuluhishi alikuwa anamsuluhisha nani huko Kigali? Mapatano yalikuwa yanafanyikia Tanzania iwapo kulikuwa na msuluhishi he/she alitakiwa kuwepo Tanzania wakati vita vinaanza. Kumbuka kuangushwa kwa Marais wawili wakitokea Tanzania ndio ulikuwa mwanzo wa genocide.
Pia Tanzania haikufunga mpaka isipokuwa iliongeza ulinzi mpakani ili Watutsi na Moderate hutu watakaovuka wasifuatwe kuuliwa. Yoyote aliyevuka daraja alipokelewa na kuhifadhiwa. Nchi ingefunga mipaka wale wanyarwanda wasingepona wangeishia mtoni wote.
Yale magenge yalikuwa yanaongozwa na viongozi sio laymen. Na wala si convoy ya Tanzania pekee ambayo haikushambuliwa hata za mataifa mengine pia. Genocide ilikuwa systematic na sio random. Haikuparamia tu watu na magenge yalikuwa yanaact on orders sio kujiongoza tu kama wendawazimu.
Kuhusu wauaji kujaribu kuvamia Ubalozi na kisha kuacha inatakiwa uelewe kitu kimoja. Si Ubalozi wa Tanzania pekee ambao Watutsi walikimbilia, Watutsi walikwenda mahala popote ambapo walihisi palikuwa salama na sehemu pekee ambazo Wauwaji waliogopa kwenda zilikuwa sehemu zenye wageni (si Watanzania pekee). Na walifanya hivyo kuavoid international provocation ambayo ingepelekea nchi nyingine zinunue ugomvi iwapo raia wao wangedhuliwa.
Swala la msingi ukitaka kuelewa survival ilikuwaje jiulize trucks za Tanzania na madereva walirudije?