Sinwar aandika barua ya pili ya pongezi. Hii ni ya kuwapongeza Houth kwa kufikisha ujumbe Tel Aviv

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Barua ya kiongozi wa Hamas iliyopatikana na televisheni ya Houth imewapongeza wapiganaji wenzao wa Houth kwa kuweza kufika mpaka ndani kabisa ya Israel.Barua hiyo aliielekeza kwa kiongozi mwenzake wa kundi la Houth ajulikanye kwa jina la Abdelmalik Alhouth.

Katika barua hiyo ambayo ni ya kuzungumzia kombora la juzi la houth lililopiga katikati ya Israel.Kiongozi huyo mpya wa Hamas ambaye anasadikiwa yupo ndani ya Gaza,amesema kundi lao liko kwenye hali nzuri ya kuendelea na vita kwa muda mrefu ujao.

Kauli kama hiyo ya utayari wa vita ilitolewa hapo juzi na msemaji wa kundi hilo akizungumzia kutokea nchini Uturuki .

Hamas chief tells Houthis their attack sends message to Israel

1726549438631.png
 
View attachment 3097744
"Hata Simba huwawa na Mbwa mwitu"ikiwa makundi hayo yataimarisha umoja wao, Israel itakuja kupatwa na majuto yasiyosahaulika.
 
Soon IDF itamla kichwa. Msilielie
 
"Hata Simba huwawa na Mbwa mwitu"ikiwa makundi hayo yataimarisha umoja wao, Israel itakuja kupatwa na majuto yasiyosahaulika.
Mwaka 1948,1967,1973 nchi za kiarabu zilishafanya huo umoja lakini israel haijapatwa na hayo majuto lakini tunaombeni pindi israel inapojilinda na hayo makundi yenu ya kigaidi ya kidini msianze kulia lia UN, haki za binadamu wapo wapi? Maana israel ikifanyiwa ugaidi mnashangilia ikijibu mapigo mnaleta malalamiko
 
Side B safi sana.
 
Naona kundi la mabikra 72 X 2 = 144 wenye macho kama mayai kwa mbali wakipiga jaramba kule akhera tayari kuwapokea wageni wao Yahya Sinwar na Abdelmalik Al Houth.
 
Mwaka 1948,1967,1973 nchi za kiarabu zilishafanya huo umoja lakini israel haijapatwa na hayo majuto lakini tunaombeni pindi israel inapojilinda na hayo makundi yenu ya kigaidi ya kidini msianze kulia lia UN, haki za binadamu wapo wapi? Maana israel ikifanyiwa ugaidi mnashangilia ikijibu mapigo mnaleta malalamiko
Watu wamejua hilo kwamba kutegemea maandiko ya UN kuhusu haki za binadamu hakusaidii sana.Ingekuwa hizo haki yuko anayezijali basi ardhi za wapalestina na maisha yao vingepatiwa kipaumbele cha mwanzo.
 
Nyie ndio mnapenda kulia lia kinafiki magaidi wenu wakiishambulia israel mnashangilia ila israel ikijibu mapigo mnajiliza kinafiki watoto na wanawake wa gaza ndugu zetu katika imani wanauawa
 
Mwaka 1948,1967,1973 nchi za kiarabu zilishafanya huo umoja lakini israel haijapatwa na hayo majuto lakini tunaombeni pindi israel inapojilinda na hayo makundi yenu ya kigaidi ya kidini msianze kulia lia UN, haki za binadamu wapo wapi? Maana israel ikifanyiwa ugaidi mnashangilia ikijibu mapigo mnaleta malalamiko
Unazungumzia kilio msibani!? Hata sasa si kujinda tu bali Israel inashambulia na kuuwa mamia kwa maelf ya watu tena wasio na hati lakini bado inaandamwa,unadhani inaweza kuwamaliza Wapelestina kisha Walebanun kisha Wayemen kisha Wairain na watetezi wengineo watakao fuatia na bado yenyewe Israel ikawepo!?
 
Marekani iliwahi kuwa na ndoto kama hiyo.Mungu akawa anawaangalia tu na kuwapelekea maonyo kidogo kidogo.
Kwa Israel ndio hawezi kabisa kuitawala mashariki ya kati.Juhudi zake hizo zinawaamsha waarabu pole pole wanamzunguka.Atazama na Marekani yote
 
Back
Top Bottom