Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Barua ya kiongozi wa Hamas iliyopatikana na televisheni ya Houth imewapongeza wapiganaji wenzao wa Houth kwa kuweza kufika mpaka ndani kabisa ya Israel.Barua hiyo aliielekeza kwa kiongozi mwenzake wa kundi la Houth ajulikanye kwa jina la Abdelmalik Alhouth.
Katika barua hiyo ambayo ni ya kuzungumzia kombora la juzi la houth lililopiga katikati ya Israel.Kiongozi huyo mpya wa Hamas ambaye anasadikiwa yupo ndani ya Gaza,amesema kundi lao liko kwenye hali nzuri ya kuendelea na vita kwa muda mrefu ujao.
Kauli kama hiyo ya utayari wa vita ilitolewa hapo juzi na msemaji wa kundi hilo akizungumzia kutokea nchini Uturuki .