Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

Mkuu ukifika bar wenzako wakiwa wanapiga Gambe, we angaza angaza macho ukiona kuna malaya yoyote chukua kapige short time afu unarudi, ukikaa kidogo unatafuta mwingine tena, hivyo hivyo mpaka time ya kuondoka
Lengo ni kutulia na wana kupiga story na kushare idea na michongo sasa nikiwa situlii hyo michongo na idea nitazisikia wap
 
Tafuta tu 'Mbunye Lager' hapo Baa Mkuu.
 

Nunua hiyo chukuwa na glass changanya na ice piga mdogomdogo

Burudika...hiyo ndio kinywaji yangu nikienda chimbo au naagiza maji Tu.
 
Solution ni kutoenda bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…