Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

Mkuu ukifika bar wenzako wakiwa wanapiga Gambe, we angaza angaza macho ukiona kuna malaya yoyote chukua kapige short time afu unarudi, ukikaa kidogo unatafuta mwingine tena, hivyo hivyo mpaka time ya kuondoka
hahaaha....nilijua hili jibu litakuwepo tu ni swala la muda
 
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.

Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.

Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa

1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja

2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao

3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…

Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Kwanini uende bar kama haunywi?
 
Kwani lazima uende bar?
 
Back
Top Bottom