Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
ni kweli lakini kiasi ninachokwambia kitaboresha afya yako unachanganya na majiwine ni pombe ! mi sinywi pombe
yuko mzee mmoja msabato alikuwa anaumwa akaletwa mjini kutibiwa akaambiwa baada ya chakula hasa cha jioni avute hata glass ya wine taratibu kwa muda mrefu afya yake ikawa njema.
hata wenye sukari wakinywa dry wine wakipima sukari inashuka.
sielewi unaumwa nini lakini jaribu utanishukuru najua wako wengine watajaribu.