Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
sparkling water ndo maji ya ajeAgiza Sparkling Water, kamulia ndimu au limao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sparkling water ndo maji ya ajeAgiza Sparkling Water, kamulia ndimu au limao.
Hapo tonic water si soda hii jamanKunywa baktika au tonic water na ka limao au hill water ile sparkling mineral water
Lengo ni kutulia na wana kupiga story na kushare idea na michongo sasa nikiwa situlii hyo michongo na idea nitazisikia wapMkuu ukifika bar wenzako wakiwa wanapiga Gambe, we angaza angaza macho ukiona kuna malaya yoyote chukua kapige short time afu unarudi, ukikaa kidogo unatafuta mwingine tena, hivyo hivyo mpaka time ya kuondoka
😂😂😂siweziiOya Mzee Magari eeeh acha bhasi Mambo yako.
Tafuta tu 'Mbunye Lager' hapo Baa Mkuu.Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampan ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikua natumia lakini naona siyo kabisa
1.Maji
aisee haya huwezi kunywa saa moja
2.Grand malta
-hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao
3.Maji na Energy
Nzuri sana unakua na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…
Ebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampan ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikua natumia lakini naona siyo kabisa
1.Maji
aisee haya huwezi kunywa saa moja
2.Grand malta
-hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao
3.Maji na Energy
Nzuri sana unakua na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…
Ebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Kula mate ya bar maids! Kama hujui kula mate wewe ni GenZ, usiende bar hadi ukue.Ebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
Ebu mchaneBar kuna company, jitahidi upige tu maji mdogo mdogo ila usisahau kuwapigisha wenzako round. Au nakushauri labda utulie nyumbani na familia yako kwani huko bar ni matumizi makubwa.
Solution ni kutoenda barWakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa
1. Maji
Aisee haya huwezi kunywa saa moja
2.Grand malta
-Hii inanikera inaleta nzi, mapovu kibao
3.Maji na Energy
Nzuri sana unakuwa na kavibe lakini shida haya maenegy kunywa energy mbili si kiaafya siyo poa naona nakunywa sana…
Hebu nipeni vinywaji vinavyoburudisha bila ya kileo
heeeTafuta tu 'Mbunye Lager' hapo Baa Mkuu.
Tatizo la kiafyaKula pombe wewe 😂😂😂
yanapatikana bar??Kunywa bhasi hata Mafuta ya Mwamposa.
akili huna ww😂😂Nenda na chupa ya chai