Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
AiseeUnatokea petrol station ya BIGBON
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeUnatokea petrol station ya BIGBON
Huyu mnako kaja kuwa fala sana adse .. Bado yuko msasani general tyre kea Bibi ake mpaka leoLord Eyes ndo zake hizo .
Ulishalipia kodi ilitakiwa uanze tu biashara yako au alikuwa anakuzuia usianze?
...Mkuu, mbona kun's Mkuu hapo almempa Pole Mtangazaji Charles Hillary??POLE SANA kwa Vijana wamiliki wa La Chaz, ndugu Urio na Mkewe Hellen, Pole kwa wanywaji wote na majirani kwa taharuki.
Ina bima kwahiyo italipwa tu
Ngoja nikureport kwanza
Noma kweli Mkuu! Radio live ndio radio IPI kumbe, ama Mkuu alikuwa na maana nyingine??Chanzo: redio live.
Noma kweli
alikua ananizuia anatoa tu sababu mpya kila siku
Au nimechanganya madesa nilifikiri ni MEEDA BARAisee
Mi sina la kuongeza bana.Kuna kitu gani kipya pale ambacho kitaweza kufika hiyo hela kama wengine wanavyosema zile mbao mbao au??tuwe serious humu ndani....na ndugu yako alisimamia design yes what about material coz hapo umeongea vitu viwili tofauti kabisaaa..... Unaweza kuwa na design yes na still ukajenga affordable house...
Iyo Lachaaz kwanza bar nyingi zipo Sinza gani nakata kuchoma kama 600M kwasiku 😂 😂Au nimechanganya madesa nilifikiri ni MEEDA BAR
Bima hawalipi kizembe, lazima wafuatilie chanson cha moto, kama kuna uzembe inakula kwaoNani ameongea mambo ya uhasibu? Niliposema b ulielewa nini?
Hapa tumuombee apate kulipwa mapema na bima or else mambo s......
Ndio......floor ya14Kidiwise unamaanisha Kidimbwi....?
hapo Tanzanite building,Victoria bar ipo floor ipi!??
Ulitaka kusema nini hapa ili tukusaidie kukuelewesha mkuu?Poleni ila Sinza haipo Dar es salaam
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu atakuwa mtu wa kusini, kuna kijiji kinaitwa Sinza, kimo mbele ya Somanga kama unaelekea kusini,Sinza iko wapi mkuu[emoji23]
Ndio......floor ya14
Huyu jamaa alitaka kusema alitaka kusema[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu atakuwa mtu wa kusini, kuna kijiji kinaitwa Sinza, kimo mbele ya Somanga kama unaelekea kusini,
Umeandika kama unakimbizwa
Tatizo kupata masantamigo ndo ishu ila ma cow boy tupo.Nataka kujenga Bar Kama ile ya From Dusk Till Down, nitanunua nyumba kama 10 hapo Sinza navunja Nakutengeneza dude kama Dege kiwanja kikubwa cha parking Twisters, Bat women, Santamigo wote wa mjini humo.
Ngoja nimpelekee wazo Kwa wazito tutapiga pesa sanaTatizo kupata masantamigo ndo ishu ila ma cow boy tupo.