Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

POLE SANA kwa Vijana wamiliki wa La Chaz, ndugu Urio na Mkewe Hellen, Pole kwa wanywaji wote na majirani kwa taharuki.
Ina bima kwahiyo italipwa tu
...Mkuu, mbona kun's Mkuu hapo almempa Pole Mtangazaji Charles Hillary??
Mmieliki haiisi nbi nvani??
 
Mi sina la kuongeza bana.
 
Nataka kujenga Bar Kama ile ya From Dusk Till Down, nitanunua nyumba kama 10 hapo Sinza navunja Nakutengeneza dude kama Dege kiwanja kikubwa cha parking Twisters, Bat women, Santamigo wote wa mjini humo.
Tatizo kupata masantamigo ndo ishu ila ma cow boy tupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…