witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Shuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!Lachaaz ipo kwa wapi Sinza nayo hata siielewi kwani ina balabalani ngapi
After all kumeshaungua so tunachoshana tu hapa[emoji57]