Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Lachaaz ipo kwa wapi Sinza nayo hata siielewi kwani ina balabalani ngapi
Shuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!

After all kumeshaungua so tunachoshana tu hapa[emoji57]
 
mkuu watatengeneza tena
 
Haha katajegwa upya, kiwanja kitamu icho, nilikua nikienda siendi na simu wala kadi ya Benk,maana unaweza pangilia cash utumie elfu hamsini, ikaisha, unatoa mpesa tu ata mpaka laki tano. M pesa masaaa yote mpaka asubuhi
 
😀😀😀😀😀😀
Usicheke, nimeitafakari comment yake nikajiuliza maswali mengi sana maana jamaa alicoment kama anamsahihisha mtoa mada. Yaani mtoa mada kakosea kusema "sinza dar es salaam"
Mimi nikajua jiji lilipovunjwa labda sinza ikapelekwa Mpanda, Mbezi beach ikapelekwa Katoro na Bunju ikahamia Buhigwe
 
Ni hapo sasa. Tusidanganyane. Hakuna mtu anayeweka siri ya namna anavyopata mkate wake hadhara. Hata awe mjinga kiasi gani. Hata makampuni makubwa kabisa hayatoi siri. Ndiyo maana kila siku nawaambia vijana wazingatie ule msemo wa ''ukisikia unaambiwa njoo huku nikuonyeshe fursa basi ujue wewe ndiyo fursa''.
Eeeh bwana...ndo ilivyo...
 
Mkuu unajua nin.. 1b ni hela nyingi sana ukiitamka mdomoni. Lakini ukipiga gharama ya kufanya investment eneo kubwa kama lile, kufanya renovations, ujumlishe na vikorokoro vyote vilivyoko pale, bado kama eneo amekodisha maanake amelipa kodi let say ya mwaka au miaka miwili, aisee hata kama haitafika b lakini m600 - 800 zinaweza katika.
Unajua mimi nashangaa wanakataa nini. Renovations zinakula hela balaa. Mbaya zaidi inatoka tu na haiingii. Tuyaache. Tusilazimishe mtu kuamini aisee
 
Inategemea ntu na ntu! kUna jamaa mmoja alinikuta kiwanja chenye watoto wakali anacheka sana na kuniambia niongozane naye akanionyeshe chenye watoto wakali. Kwenda nikakuta ni madungayembe tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Unajua mimi nashangaa wanakataa nini. Renovations zinakula hela balaa. Mbaya zaidi inatoka tu na haiingii. Tuyaache. Tusilazimishe mtu kuamini aisee

Ndio maana na mimi nimeona ninyamaze tu hakuna haja ya kubishana na watu.
 
Usicheke, nimeitafakari comment yake nikajiuliza maswali mengi sana maana jamaa alicoment kama anamsahihisha mtoa mada. Yaani mtoa mada kakosea kusema "sinza dar es salaam"
Mimi nikajua jiji lilipovunjwa labda sinza ikapelekwa Mpanda, Mbezi beach ikapelekwa Katoro na Bunju ikahamia Buhigwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!

After all kumeshaungua so tunachoshana tu hapa[emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23] huu ukorofi
 
Ila kuongea rahisi
Kuna rahisi na toka lini mtu aka invest hela yake kwenye biashara kama hiyo??aspend 1 Billion kama watu wanavyosema humu ndani??watu tunaongea hali halisi kutokana na experience na sio tunaropoka....Nyumba ambayo nataka kupangisha ambayo sitoishi alafu nika invest mabillion ya hela wakati me nipo kibiashara zaidi.....
 
Back
Top Bottom