Shuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!Lachaaz ipo kwa wapi Sinza nayo hata siielewi kwani ina balabalani ngapi
Ukiwa unaelekea Sayansi au MadukaniKona bar, au ambiance kituo kinachofuata kushoto unaingia la chaaz
MadukaniUkiwa unaelekea Sayansi au Madukani
mkuu watatengeneza tenaShuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!
After all kumeshaungua so tunachoshana tu hapa[emoji57]
Haha katajegwa upya, kiwanja kitamu icho, nilikua nikienda siendi na simu wala kadi ya Benk,maana unaweza pangilia cash utumie elfu hamsini, ikaisha, unatoa mpesa tu ata mpaka laki tano. M pesa masaaa yote mpaka asubuhiShuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!
After all kumeshaungua so tunachoshana tu hapa[emoji57]
Usicheke, nimeitafakari comment yake nikajiuliza maswali mengi sana maana jamaa alicoment kama anamsahihisha mtoa mada. Yaani mtoa mada kakosea kusema "sinza dar es salaam"😀😀😀😀😀😀
Wabongo bana .....Kumbeeeh?
Eeeh bwana...ndo ilivyo...Ni hapo sasa. Tusidanganyane. Hakuna mtu anayeweka siri ya namna anavyopata mkate wake hadhara. Hata awe mjinga kiasi gani. Hata makampuni makubwa kabisa hayatoi siri. Ndiyo maana kila siku nawaambia vijana wazingatie ule msemo wa ''ukisikia unaambiwa njoo huku nikuonyeshe fursa basi ujue wewe ndiyo fursa''.
Mzee jakaya alisemaje ......malizia mwenyewHivi kuna joking hapa[emoji848]...I hope uko serious, msaidie mwenzio
Ndo itabadilisha uhalisia?Mmmmh mmmmh 1b??[emoji15][emoji15][emoji15]
Ninakataa kwa nguvu zote, khaaaa chagas[emoji102][emoji88]
Unajua mimi nashangaa wanakataa nini. Renovations zinakula hela balaa. Mbaya zaidi inatoka tu na haiingii. Tuyaache. Tusilazimishe mtu kuamini aiseeMkuu unajua nin.. 1b ni hela nyingi sana ukiitamka mdomoni. Lakini ukipiga gharama ya kufanya investment eneo kubwa kama lile, kufanya renovations, ujumlishe na vikorokoro vyote vilivyoko pale, bado kama eneo amekodisha maanake amelipa kodi let say ya mwaka au miaka miwili, aisee hata kama haitafika b lakini m600 - 800 zinaweza katika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]Inategemea ntu na ntu! kUna jamaa mmoja alinikuta kiwanja chenye watoto wakali anacheka sana na kuniambia niongozane naye akanionyeshe chenye watoto wakali. Kwenda nikakuta ni madungayembe tu.
Ndugu yangu, nimejifunza exposure muhimu sana.Hahaha acha dhereu, last minute ilikula si chini ya 150M! Ndugu yangu ndio aliisimamia design toka inaanza to the end.
Unajua mimi nashangaa wanakataa nini. Renovations zinakula hela balaa. Mbaya zaidi inatoka tu na haiingii. Tuyaache. Tusilazimishe mtu kuamini aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usicheke, nimeitafakari comment yake nikajiuliza maswali mengi sana maana jamaa alicoment kama anamsahihisha mtoa mada. Yaani mtoa mada kakosea kusema "sinza dar es salaam"
Mimi nikajua jiji lilipovunjwa labda sinza ikapelekwa Mpanda, Mbezi beach ikapelekwa Katoro na Bunju ikahamia Buhigwe
Wala hata sina ninalolijua kuhus mambo hayo, la chars iliyoungua yenyewe siijui hata na sijawahi fika hapo.Wabongo bana .....
hapo usha - conclude ya kwamba huo ndio ukweli!!??
[emoji23][emoji23][emoji23] huu ukorofiShuka na hiyo barabara kama unatokea kwa kakobe mpaka ufike Big bon petrol station utakutana na barabara nyingine inatoka mwenge inaelekea shekilango...sasa we hapo hapo big bon usikate kona nyoosha mbele kidogo mkono wako wa kushoto utapaona!
After all kumeshaungua so tunachoshana tu hapa[emoji57]
Kuna rahisi na toka lini mtu aka invest hela yake kwenye biashara kama hiyo??aspend 1 Billion kama watu wanavyosema humu ndani??watu tunaongea hali halisi kutokana na experience na sio tunaropoka....Nyumba ambayo nataka kupangisha ambayo sitoishi alafu nika invest mabillion ya hela wakati me nipo kibiashara zaidi.....Ila kuongea rahisi
Nyingi sana hiyo mkuu hapo mjini ukiingia kichwa kichwa na wenyewe watakuchukulia hivyo hivyo ina maana sinza utafanisha na posta??Kumbe kwa 300M naweza aanzisha Bar kali huko sinza ausio