Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Au fitna za biashara...kule nako upinzani ni mkubwa, si unaona hata boardroom ilipigwa lokiiMambo ya insurance hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au fitna za biashara...kule nako upinzani ni mkubwa, si unaona hata boardroom ilipigwa lokiiMambo ya insurance hayo
Totoz za aje mkuutotoz ndo basi tena
Kwa hiyo wewe kumbe ni bar maid au?Natetemeka na kujawa na hofu sometimes Mimi hupiga kazi pale
Mbona hujafikiria labda ni dj... Maana ma dj ndio wanaenda bar kufanya kazi kwa msimu hahahahah
Mambo ya insurance hayo
Kama ni Bar wacha iteketee tu.Chanzo Radio live nipo ndani ya daladala
Katika harakati za "be the 1st to post"Pupa ya nini, kwani unaufuzwa, andika vizuri
POLE SANA kwa Vijana wamiliki wa La Chaz, ndugu Urio na Mkewe Hellen, Pole kwa wanywaji wote na majirani kwa taharuki.Chanzo Radio live nipo ndani ya daladala
Ni nini hicho umetaja hapo..... Ni mtu anateketea kwa moto au ni kitabu....?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo: redio live.Chanzo Radio live nipo ndani ya daladala
Nini faida sasa uliyopata baada ya La Chaaz kuteketea?Bora iteketee tu maana yule mchaga wa La chaaz kala hela zangu saana.
In life you win some... You lose some!