Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

POLE SANA kwa Vijana wamiliki wa La Chaz, ndugu Urio na Mkewe Hellen, Pole kwa wanywaji wote na majirani kwa taharuki.
Ina bima kwahiyo italipwa tu
Ala kumbe wana bima, nao hawalipi kirahisi rahisi lazima wajiridhishe, wiring ilikuwaje, chanzo, vifaa vya moto n.k
 
Back
Top Bottom