Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Mmliki wake hasa ni nani? Maana Charles Hillary alivotoka BBC ndio nilisikia alifungua..na huyo mchaga mmliki aliuziwa au ?
 
Mmliki wake hasa ni nani? Maana Charles Hillary alivotoka BBC ndio nilisikia alifungua..na huyo mchaga mmliki aliuziwa au ?
Bado ni ya kwao wakina hillary
Wao walihamia kibamba hpo walimkodisha eddo
Alipabomoa na kupakarabati
Maumivu hapo zaidi ni kwa mpangishaji sasa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nawaza sio Ushindani wa Kibiashara kweli? nikikumbuka ile sehemu maarufu ya karibu yao ilivyoungua wadau walisema La chaaz Imehusika.

Boardroom imefungwa nikasikia tena kuna kamkono kao.
Inawezekana pia twin...lkn mambo ya insurance siku hizi ndo habaree ya mjini
 
Back
Top Bottom