miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Anayeendesha biashara ni eduard david urio... namhurimia sana. Hela aliyoweka hapo si mchezo. Nikiitaja watu watasema naweka fix. Ila ni pesa ndefu. Najiuliza mbona ni juzi tu marekebisho yalifanyika. Sitaki kufikiria sana kama ni mambo ya bima aisee.