Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Ila majority ni kama wamefurahi jamaa kuanguka sababu wana grudges nae. Sijajua hili unalizungumziaje?
Siwezi wasemea aisee maana wao sijui wana issue gani. Na sitapenda funguka sana juu ya issue yetu ila ni jambo linaloeleweka.. ni 3rd part ameongezeka ndo analeta changamoto. Kama anamboost jamaa. Hata sikafurahia. Janga la moto tuko experienced nalo sitacheka. Na maybe si yeye davie amekosana na wanaofurahia maybe ni watendaji wake so siwezi semea neno.
 
Ukikutana nao asubuhi make up imefagiwa na jasho la usiku kucha unaweza kuhisi ni wachezaji wa mpira wa Njombe mji. [emoji16][emoji16]

Maisha haya nyie! Tuacheni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana kwa kunifurahisha jioni ya leo. Umeandika kwa uchungu sana
 
Kwa uchache tu inaonesha ana asili ya udhulumati kama kawaida ya wachaga wengi kurusha hela za wenzao!
Mh...! Fedha haina kabila, fedha haina dini, fedha haina baba, fedha haina mama, fedha haina mke/mume. Kwenye mambo ya fedha usimwamini mtu yoyote na wkati wowote. Pigia mstari haya maneno. Mimi nilidhulimiwa na mnyasa (watu wanasema ni watu wapole) na alinikana kwa macho makavu kabisa bila kutetereka.
 
hahahahahahahaahahah kmmmmmk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mimi ngoja nikalale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anayeendesha biashara ni eduard david urio... namhurimia sana. Hela aliyoweka hapo si mchezo. Nikiitaja watu watasema naweka fix. Ila ni pesa ndefu. Najiuliza mbona ni juzi tu marekebisho yalifanyika. Sitaki kufikiria sana kama ni mambo ya bima aisee.
Weka bana acha uoga watu tunamuuzia vipuli Elon Musk tukibandika figa si utazimia kabisa
 
Back
Top Bottom