miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23] nyie bandikeni tu.Weka bana acha uoga watu tunamuuzia vipuli Elon Musk tukibandika figa si utazimia kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] nyie bandikeni tu.Weka bana acha uoga watu tunamuuzia vipuli Elon Musk tukibandika figa si utazimia kabisa
Huu uzi umeandikwa chap km mtu anakimbizwa na jambazi[emoji16]
Kumbeeeh?Mambo ya insurance hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahBora iteketee tu maana yule mchaga wa La chaaz kala hela zangu saana.
In life you win some... You lose some!
Duuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta uzi spidi alokuja nayo sasa,utasema ni mtu ameona nyumba ya jirani inaungua sasa anakimbia kuwaambia kwao nao wakashangae au kutoa msaada,hii ni jf bwana relax
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawataarifu kua tumefanikiwa kuokoa daftari la madeni...naona wadaiwa sugu wa la chaaz mlishaanza kushangilia
Poleeeehkuna biashara yangu niliitaka kuiweka pale akaniambia nilipe kiasi kadhaa cha fedha kama kodi ya mwaka mzima, nikalipa ila mwisho wa siku ikawa story story miaka 2 ishapita now nimemuachia Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sababu Mama ako alikupata kwenye Kudanga unadhani kila mtu Mdangaji, Mbwa wewe!!!
ngoja ukae kwenye ignore list!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahNimepunguza nusu hasara... Nlishapoteza milion 7 pale kwa kunywa mipombe yao tu. Napachukia La Chaaz balaa.
Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]La chaz ipo sehemu gani sinza? Na bia kubwa ni sh ngapi? Nataka niwe naenda kupoza koo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushachelewa imeungua....njoo tu huku mwananyamala manjunju ujifariji hata kwenye kigrocery
Duuuuh aiseeeehNiko eneo la tukio now..ni noma si kwa kiberiti hiki[emoji848]
Wacha weeehHumo La Chaz ukiingia ndani hutoki na ukitoka basi kumekucha kabisaaa asubuhi na hapo mnaoiga chakula kitamu kabisaa pale njee[emoji3][emoji3]hiyo sehemu ilikuwa ni balaa sanaaaa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mi nilipoteza 1m kimazingara pale huwezi amini
Mambo ya insurance hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.
Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.
Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.
Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaah weeeh lolUkikutana nao asubuhi make up imefagiwa na jasho la usiku kucha unaweza kuhisi ni wachezaji wa mpira wa Njombe mji. [emoji16][emoji16]
Maisha haya nyie! Tuacheni tu.
Mwanamume unapopatwa na matatizoo, macho hua mekundu kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa....🎵🎶🎼ukiwa mwanaume.halafu unafanya biashara..its very dangerous...marejesho ni tatizo kubwa sana kwenye uchumi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anasema "njombe mji" utadhan una utani na wabena lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana kwa kunifurahisha jioni ya leo. Umeandika kwa uchungu sana