Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Mleta uzi spidi alokuja nayo sasa,utasema ni mtu ameona nyumba ya jirani inaungua sasa anakimbia kuwaambia kwao nao wakashangae au kutoa msaada,hii ni jf bwana relax
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna biashara yangu niliitaka kuiweka pale akaniambia nilipe kiasi kadhaa cha fedha kama kodi ya mwaka mzima, nikalipa ila mwisho wa siku ikawa story story miaka 2 ishapita now nimemuachia Mungu
Poleeeeh
 
Humo La Chaz ukiingia ndani hutoki na ukitoka basi kumekucha kabisaaa asubuhi na hapo mnaoiga chakula kitamu kabisaa pale njee[emoji3][emoji3]hiyo sehemu ilikuwa ni balaa sanaaaa.....
Wacha weeeh
 
Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.

Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.

Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.

Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukikutana nao asubuhi make up imefagiwa na jasho la usiku kucha unaweza kuhisi ni wachezaji wa mpira wa Njombe mji. [emoji16][emoji16]

Maisha haya nyie! Tuacheni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaah weeeh lol
 
ukiwa mwanaume.halafu unafanya biashara..its very dangerous...marejesho ni tatizo kubwa sana kwenye uchumi huu
Mwanamume unapopatwa na matatizoo, macho hua mekundu kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa....🎵🎶🎼
Wanaume tumeubwa (tumeubwa) mateso, mateso, kuhangaika....🎼🎶🎵
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana kwa kunifurahisha jioni ya leo. Umeandika kwa uchungu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anasema "njombe mji" utadhan una utani na wabena lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom