maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Davie amepata hasara kweli kweli..
imeungua club,ukumbi mkali kabisa wa kisasa,night club mpya kabisamaana aliikarabati,bar and classic lounge majiko yote supermarket na carwash
moto umeanzia club sasa ile soundproof ndo iliharibu mambo maana ni magodoro flani hivi...ila ukumbi umenisikitisha mno
alikopa hela akarenovate heavy investment...sijui ila kama sio mafekeche ya town...kama ni really atakua kwenye hali mbaya sana...
ukiwa mwanaume.halafu unafanya biashara..its very dangerous...marejesho ni tatizo kubwa sana kwenye uchumi huu