Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Davie amepata hasara kweli kweli..
imeungua club,ukumbi mkali kabisa wa kisasa,night club mpya kabisamaana aliikarabati,bar and classic lounge majiko yote supermarket na carwash

moto umeanzia club sasa ile soundproof ndo iliharibu mambo maana ni magodoro flani hivi...ila ukumbi umenisikitisha mno

alikopa hela akarenovate heavy investment...sijui ila kama sio mafekeche ya town...kama ni really atakua kwenye hali mbaya sana...

ukiwa mwanaume.halafu unafanya biashara..its very dangerous...marejesho ni tatizo kubwa sana kwenye uchumi huu
 
Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.

Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.

Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.

Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its not funny ila imebidi nicheke. Hapo lwa wadada poa waliochundaaa... hiyo make up yao ndo siwezi pata picha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amekiuka masharti. Ova.
Walaaaaa.. mpambanaji kweli kweli jamaa. Na ana akili ya kupambana. Sema hela sasa ndo sijui kama anayo aisee kwa sasa. Ako na hali si nzuri kiuchumi. Ujenzi unamaliza sana hela... na pale kila siku ujenzi... sijawahi ingia hapo ila ni jamaa yetu kwahiyo kwa kiasi chake naelewa hela imeteketea hapo.
 
Davie amepata hasara kweli kweli..
imeungua club,ukumbi mkali kabisa wa kisasa,night club mpya kabisamaana aliikarabati,bar and classic lounge majiko yote supermarket na carwash

moto umeanzia club sasa ile soundproof ndo iliharibu mambo maana ni magodoro flani hivi...ila ukumbi umenisikitisha mno

alikopa hela akarenovate heavy investment...sijui ila kama sio mafekeche ya town...kama ni really atakua kwenye hali mbaya sana...

ukiwa mwanaume.halafu unafanya biashara..its very dangerous...marejesho ni tatizo kubwa sana kwenye uchumi huu
According to maza anaanmbia 1 bil hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its not funny ila imebidi nicheke. Hapo lwa wadada poa waliochundaaa... hiyo make up yao ndo siwezi pata picha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikutana nao asubuhi make up imefagiwa na jasho la usiku kucha unaweza kuhisi ni wachezaji wa mpira wa Njombe mji. [emoji16][emoji16]

Maisha haya nyie! Tuacheni tu.
 
Kudanga ni kazi Kama kazi nyingine... Ziheshimiwe na serikali izirasimishe Kama ulaya ili ipate mapato ya kodi.

Nawaheshimu Makahaba na Malaya wote.. mlinisaidia Sana kubadilisha ladha.

Nawasilisha!
kwahyo mimi Kahaba mkuu....

sema nn tuendelee kunywa bia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom