Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Hahaha.mkuu..mim ni tofaut kdogo..mim ni bahil kwel kwel kwenye stareh kama hzo na wala huwa sihong ......kitu ambacho huwa nahakikisha kinakaa sawa kwelkwel ni the place i lay my body at night..ukija kwangu lazima genye zikupande....hata kama sjakupa hela lazima utakua mpole tu..ila hela yangu haiendag kiboya boyaSi wakidangiwa[emoji23][emoji23]
Maana hapo wadangaji wanazama halaf wanatolewa kavu wakiachwa wanaanza lalamika wanawake wengine hawafai kumbe waliwaonyeshea uhalisia feki[emoji23][emoji23][emoji23]