Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Si wakidangiwa[emoji23][emoji23]
Maana hapo wadangaji wanazama halaf wanatolewa kavu wakiachwa wanaanza lalamika wanawake wengine hawafai kumbe waliwaonyeshea uhalisia feki[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha.mkuu..mim ni tofaut kdogo..mim ni bahil kwel kwel kwenye stareh kama hzo na wala huwa sihong ......kitu ambacho huwa nahakikisha kinakaa sawa kwelkwel ni the place i lay my body at night..ukija kwangu lazima genye zikupande....hata kama sjakupa hela lazima utakua mpole tu..ila hela yangu haiendag kiboya boya
 
Mkuu ukiambiwa uweke prove kama yupo kwenye Grid utaweza au ndio utatupiga maneno tu hapa ?
Namjua huyo dada vzur mkuu...mabwana zake wengne wamekata moto tumewazika..mkuu mi ni mtoto wa mjin..hao wasanii wengne wanakuja actia kwenye mijengo ya wazee wetu..nawajua vzur hao..wooote..bongo muvi naijua vzur..wengne tushagonga na kugonga huko
 
Watu humu wana mawazo yao na kuna namna walivyo amua kuamini na kufikiri. Kwenye uwekezejai mkubwa kama ule sishangai kutumika 1 billion, mie nina bosi wangu alikuwa amewekeza kwenye aina flani ya mradi hadi alikuwa anatamani kulia hela zinavyokata, unakuta anachukua hata 11 billion inakatika jamaa alikuwa analia lia tu, na ndipo nikaona hizi hela nyingi sana kuzitaja na kwa sie ambao tunaganga njaa . Ila ukija kwenye uwekezaji ndio utaona inavyokata mafuta
Woooiii... as if na sisi hatuko kwenye hizo biashara[emoji23][emoji23] tuwakaushie
 
Lazima uchanganyikiwe, na kama ujuavyo uchumi na soko zima la safaru duniani limepitia kashi kashi, kutokana na corona. Lazima upagawe
Hiyo mikopo banaaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sema napenda jinsi tulivyo marisk takers...
Kuna tarehe zikifika hatuongeleshani ndani[emoji23][emoji23][emoji23] tunaapa tukinaliza hatuchukui tena. Heeeeh... huoooo tunachukua tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena wa kutosha... kuchukua raha banaaa... kurejeshaa sasa...
Halaf sasa hv ukiwa unajenga mwanangu watu wanakua macho balaa. Kwanza wanakuogopaaa.... na materials zilivyopanda bei viqandani[emoji119][emoji119]
 
Pumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupiga sasa hivi
Watu wanapenda sana kuvumishiana mambo mabaya mabaya tu. Akiambiwa aweke ushaihii anaongeza maneno tena
 
Hivi nini kisa cha board room kufungwa mkuu
Majirani wamelalamika kelele so kinachofanyika saivi wanatengeneza lounge ya ndani

ipige mziki ndani kimya kimya sauti isitoke nnje,ni mambo za unoko unoko tu Majirani wamejazwa wakajazika wakakinukisha.

in short area ile unoko ni mwingi sana,ukiingia kuwekeza kwenye sekta ya burudani,Ujipange haswaa.
 
Hahaha.mkuu..mim ni tofaut kdogo..mim ni bahil kwel kwel kwenye stareh kama hzo na wala huwa sihong ......kitu ambacho huwa nahakikisha kinakaa sawa kwelkwel ni the place i lay my body at night..ukija kwangu lazima genye zikupande....hata kama sjakupa hela lazima utakua mpole tu..ila hela yangu haiendag kiboya boya
[emoji23][emoji23][emoji23] u are the smartest kid. Sehemu nzuri ya kulala is everything. Ila mwanaume anayetoa hela ovyo ni weak. Pesa ni sabuni ya roho lakini nidhamu lazima iwepo. Dating a man anamisuse pesa ni hasara kubwa sana.
 
Hiyo mikopo banaaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sema napenda jinsi tulivyo marisk takers...
Kuna tarehe zikifika hatuongeleshani ndani[emoji23][emoji23][emoji23] tunaapa tukinaliza hatuchukui tena. Heeeeh... huoooo tunachukua tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena wa kutosha... kuchukua raha banaaa... kurejeshaa sasa...
Halaf sasa hv ukiwa unajenga mwanangu watu wanakua macho balaa. Kwanza wanakuogopaaa.... na materials zilivyopanda bei viqandani[emoji119][emoji119]
Acha tu, kila siku najifunza kuhusu mambo ya pesa. Ifike kipindi tutoke kuwa ma risk take na kuwa ma risk manager wazuri 😀😀😀. Kuna hela nilishachukua nikawekeza sehemu nikakosea kuimanage , zilikuja lose mwanzo mwisho, cha kushukuru kulikuwa na backup ila nilisota sana hadi kuifikia hiyo backup. Tupambane ushindi upo mbeleni
 
Woooiii... as if na sisi hatuko kwenye hizo biashara[emoji23][emoji23] tuwakaushie
Narudia tena kusema 1 billion ni ndogo kwenye uwekezaji, ingawa thamani yake ni kubwa. Na huko mbeleni kama uchumi wa dunia hauto imarika vyema itakuwa utopolo kabisa hasa kwa wekezaji, maana ma vitu yana panda bei, sitoshangaa miaka kadhaa mbeleni mtu kuniambia ametumia zaidi ya 3 billionkwa club kama La chalz
 
Back
Top Bottom