Hahaha.mkuu..mim ni tofaut kdogo..mim ni bahil kwel kwel kwenye stareh kama hzo na wala huwa sihong ......kitu ambacho huwa nahakikisha kinakaa sawa kwelkwel ni the place i lay my body at night..ukija kwangu lazima genye zikupande....hata kama sjakupa hela lazima utakua mpole tu..ila hela yangu haiendag kiboya boyaSi wakidangiwa[emoji23][emoji23]
Maana hapo wadangaji wanazama halaf wanatolewa kavu wakiachwa wanaanza lalamika wanawake wengine hawafai kumbe waliwaonyeshea uhalisia feki[emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakupeleka nikija darUpo juu kule minaonaga kwenye Video tu zakina Lunya, Rosa lee nk
Namjua huyo dada vzur mkuu...mabwana zake wengne wamekata moto tumewazika..mkuu mi ni mtoto wa mjin..hao wasanii wengne wanakuja actia kwenye mijengo ya wazee wetu..nawajua vzur hao..wooote..bongo muvi naijua vzur..wengne tushagonga na kugonga hukoMkuu ukiambiwa uweke prove kama yupo kwenye Grid utaweza au ndio utatupiga maneno tu hapa ?
Woooiii... as if na sisi hatuko kwenye hizo biashara[emoji23][emoji23] tuwakaushieWatu humu wana mawazo yao na kuna namna walivyo amua kuamini na kufikiri. Kwenye uwekezejai mkubwa kama ule sishangai kutumika 1 billion, mie nina bosi wangu alikuwa amewekeza kwenye aina flani ya mradi hadi alikuwa anatamani kulia hela zinavyokata, unakuta anachukua hata 11 billion inakatika jamaa alikuwa analia lia tu, na ndipo nikaona hizi hela nyingi sana kuzitaja na kwa sie ambao tunaganga njaa . Ila ukija kwenye uwekezaji ndio utaona inavyokata mafuta
Uoga wako tuu..sema nikufundishe basi unaendaje endaje huko na elf 30 yako..niruhusu..mi ndo mtoto wa mjinNajichanganya kwenye bata za level yangu
Huko kwa kishua siwezi kumantain kila siku
Hiyo mikopo banaaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Lazima uchanganyikiwe, na kama ujuavyo uchumi na soko zima la safaru duniani limepitia kashi kashi, kutokana na corona. Lazima upagawe
Watu wanapenda sana kuvumishiana mambo mabaya mabaya tu. Akiambiwa aweke ushaihii anaongeza maneno tenaPumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupiga sasa hivi
Kwamim ambae naenda tafuta watoto wazur..siwez acha atiii.hahahah[emoji91][emoji91][emoji847][emoji847][emoji847]
Akili kumkichwa mkuu... hatupaswi kuishi kuwafurahisha wengine. Kwanza sasa hv show off hizi unashangaa TRA hawa hapa[emoji23]
Majirani wamelalamika kelele so kinachofanyika saivi wanatengeneza lounge ya ndaniHivi nini kisa cha board room kufungwa mkuu
Totoa zinahama kiwanja tutotoz ndo basi tena
Hahahahah.tulia tuliaPumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakupiga sasa hivi
Nataka unipe pesa yangu niagize mwenyewe sitaki kuwa chawa fatafata, sio Don unaenda kuogelea misina hamu nikufate.Ntakupeleka nikija dar
[emoji23][emoji23][emoji23] u are the smartest kid. Sehemu nzuri ya kulala is everything. Ila mwanaume anayetoa hela ovyo ni weak. Pesa ni sabuni ya roho lakini nidhamu lazima iwepo. Dating a man anamisuse pesa ni hasara kubwa sana.Hahaha.mkuu..mim ni tofaut kdogo..mim ni bahil kwel kwel kwenye stareh kama hzo na wala huwa sihong ......kitu ambacho huwa nahakikisha kinakaa sawa kwelkwel ni the place i lay my body at night..ukija kwangu lazima genye zikupande....hata kama sjakupa hela lazima utakua mpole tu..ila hela yangu haiendag kiboya boya
Acha tu, kila siku najifunza kuhusu mambo ya pesa. Ifike kipindi tutoke kuwa ma risk take na kuwa ma risk manager wazuri πππ. Kuna hela nilishachukua nikawekeza sehemu nikakosea kuimanage , zilikuja lose mwanzo mwisho, cha kushukuru kulikuwa na backup ila nilisota sana hadi kuifikia hiyo backup. Tupambane ushindi upo mbeleniHiyo mikopo banaaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sema napenda jinsi tulivyo marisk takers...
Kuna tarehe zikifika hatuongeleshani ndani[emoji23][emoji23][emoji23] tunaapa tukinaliza hatuchukui tena. Heeeeh... huoooo tunachukua tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena wa kutosha... kuchukua raha banaaa... kurejeshaa sasa...
Halaf sasa hv ukiwa unajenga mwanangu watu wanakua macho balaa. Kwanza wanakuogopaaa.... na materials zilivyopanda bei viqandani[emoji119][emoji119]
Bia zimechemka mithili ya chai ya tangawizi,zamotrooooBia zimeungua ??
Kwa bongo ni kawaida. Ila wasanii kwa kweli qa kukaa nao mbali. Weeee... hizo chain zao mpk unaogopaWatu wanapenda sana kuvumishiana mambo mabaya mabaya tu. Akiambiwa aweke ushaihii anaongeza maneno tena
Kidimbwi ama wapi[emoji23]Kwamim ambae naenda tafuta watoto wazur..siwez acha atiii.hahahah
Narudia tena kusema 1 billion ni ndogo kwenye uwekezaji, ingawa thamani yake ni kubwa. Na huko mbeleni kama uchumi wa dunia hauto imarika vyema itakuwa utopolo kabisa hasa kwa wekezaji, maana ma vitu yana panda bei, sitoshangaa miaka kadhaa mbeleni mtu kuniambia ametumia zaidi ya 3 billionkwa club kama La chalzWoooiii... as if na sisi hatuko kwenye hizo biashara[emoji23][emoji23] tuwakaushie
Njo hvo mama la mama[emoji23][emoji23][emoji23] u are the smartest kid. Sehemu nzuri ya kulala is everything. Ila mwanaume anayetoa hela ovyo ni weak. Pesa ni sabuni ya roho lakini nidhamu lazima iwepo. Dating a man anamisuse pesa ni hasara kubwa sana.