Kwa wadada sio nzur sana...mdada anatakiwa kuwa ametulia ...Looh, nimekumbika miss IFM. Bashite akaja na kajalawise[emoji23] mambo yalikua motoo...
Ila mimi sipendi heka heka. Nikiwa na hela yangu mara moja moja natoka naenda sehemu moja tulivu nakula na kunywa vzr kisha narudi zangu home. Sipendi heka heka...
Pale nilikua naenda enz zile jangwan jangwani kweli..skuhiz uswahili umekua mwing paleUkitaka bikini ingia jangwani sea breeze pale watoto kama hawana wazazi vile
Woooiii... as if na sisi hatuko kwenye hizo biashara[emoji23][emoji23] tuwakaushie
Hao wa barabarani au mtu anae jiuza ni ku risk nafsi yako. Mtu hadi kaamua kujiuza maana yake kajizira huyo, haoni thamani yake. Ila bora kupima, maana mda wa kuvaa ndom au akili ya kuvaa ndom inatoka wapi aisee.. ni vyema kuwa na kit za kupimia.Katika mambo huwa siyafanyii mchezo ni kinga..mi ni [emoji91] ndio ila si.tomb bila condom hata siku1...na sichukuag wale wa barabaran au wale ma pro kabisa wa kujiuza...mi madem zangu wa ofisin...vyuon na videm vya mitaan hiv .unakikuta kinauza juice au stationery unabeba..ila kulala na malaya kabisa wale.sjawai
Wale wadada hawafai kuliwa, wanastahili ushauri na saha tu.Ukimaliza ile bar jirani na BIGBON kuna vyumba vya show then kuna njia inaingia kulia ukimaliza frem zile kuna michongoma kuna site moja guest bubu unaipata?
Malaya anakuvalisha mwenyewe condom wanakuwa makini sanaHao wa barabarani au mtu anae jiuza ni ku risk nafsi yako. Mtu hadi kaamua kujiuza maana yake kajizira huyo, haoni thamani yake. Ila bora kupima, maana mda wa kuvaa ndom au akili ya kuvaa ndom inatoka wapi aisee.. ni vyema kuwa na kit za kupimia.
Rapid test zile mjomba..umpime mdada wa watu atakuelewa?Hao wa barabarani au mtu anae jiuza ni ku risk nafsi yako. Mtu hadi kaamua kujiuza maana yake kajizira huyo, haoni thamani yake. Ila bora kupima, maana mda wa kuvaa ndom au akili ya kuvaa ndom inatoka wapi aisee.. ni vyema kuwa na kit za kupimia.
Mm 7m nilitapeliwa kwenye forex. Bora huyo aliyeenda kunywa Pombe mwenyewe kiroho safiKwa iyo unajiona wa maana sana kumpa huo ushauri......mi nasema bora iyo ela katumia kwenye pombe maana huko shambani angelia
Hivi wabongo mnajaaje kwenye tukio la moto bila hata kutoa msaada
Fitina gani za hivi,Bora iteketee tu maana yule mchaga wa La chaaz kala hela zangu saana.
In life you win some... You lose some!
Katoe mchango wa pole [emoji23][emoji23]Dah, eneo langu la kujidai hili, itabidi nitafute kiwanja kipya.
Mchaga mwenye akili alisha foresee risk akajikatia na bima, wachache sana wanafanya hivyoPOLE SANA kwa Vijana wamiliki wa La Chaz, ndugu Urio na Mkewe Hellen, Pole kwa wanywaji wote na majirani kwa taharuki.
Ina bima kwahiyo italipwa tu
Vita ya kibiashara hizoNawaza sio Ushindani wa Kibiashara kweli? nikikumbuka ile sehemu maarufu ya karibu yao ilivyoungua wadau walisema La chaaz Imehusika.
Boardroom imefungwa nikasikia tena kuna kamkono kao.
Unaendaje na milion 7 mkononi bar na weweNimepunguza nusu hasara... Nlishapoteza milion 7 pale kwa kunywa mipombe yao tu. Napachukia La Chaaz balaa.
Bado siamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafanya maigizo nyie[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mi nilipoteza 1m kimazingara pale huwezi amini
Wanaume na sifa za kula mademu wengi wengi utadhani kuna reward, vijana mbadilikeNilishakula totoz Kama mbili hivi,totoz classic kabisa[emoji26][emoji26]
Hata kama humpenda ndio ufurahie mali zake kuungua? Wajua ni wangapi wamepoteza kazi kwa janga lililompata jamaa?Kwani ni lazima huyo La Chaaaz apendwe na kila mtu hapa duniani?
Mimi wabaya wangu wakipatwa na hasara huwa ninafurahi sana. Tena saaaana mkuu. Kamwe siwezi kumuombea mema mbaya/adui yangu. Adui yangu ninamuombea hasara kubwa na kifo tu. Never let your enemy grow.Hata kama humpenda ndio ufurahie mali zake kuungua? Wajua ni wangapi wamepoteza kazi kwa janga lililompata jamaa?
Sio ajabu hata hujawahi kumuona lakini unakuwa na elements za kichawichawi
Mkuu jua hapo unaongea na chawa wa kina vunjabei ambao nao wamesikia boss wao ana 1 bHuwa nafurahi sana nikisoma comment kama hizi. Wewe una bilioni ngapi hadi uwe na nguvu ya kusema 1b ni ndogo ? Umewekeza bilioni ngapi?
Serious dear, am not jokin at all[emoji848]Bado siamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafanya maigizo nyie
Sent using Jamii Forums mobile app