Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Kwa wadada sio nzur sana...mdada anatakiwa kuwa ametulia ...Looh, nimekumbika miss IFM. Bashite akaja na kajalawise[emoji23] mambo yalikua motoo...
Ila mimi sipendi heka heka. Nikiwa na hela yangu mara moja moja natoka naenda sehemu moja tulivu nakula na kunywa vzr kisha narudi zangu home. Sipendi heka heka...
Na sie wanaume hatupend mdada awe kiruka njia..na ndomana huwa hatuwaoi wale tunaokutana nao maeneo kama ya huko tunaoa wale home girl.church girl etc