Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Toa connection tutakuja kukupa kampani maana biashara ndio ilivyo mkuu mwanzo unakuwaga mgumu kidogo sio rahisi kabisaa hata kidogo...
 
Pombe za million 5 tu pale La Chaaz???
 
Ha ha ha wewe Mzee soma uendelee na mambo mengine! Vijana hutawaweza! Anamaliza m7 kwenye baa ya uswahilini!
Kijana hajasema ametumbua kwa siku moja.Naamini kabisa ukiwa ulichelewa kuingia mjini na umezibahatisha pesa za harakaharaka inawezekana kabisa mkagawana na malaya mpaka zikaisha.
 
kuna mbao na mrundikano wa vidagaa/wadangaji cheap[emoji28][emoji28] watu wanaoiona la chaaz kama paradiso hawajatembea alijisemea TID "watoto wadogo" Kwanzia Location/renovation/Target bado sana kufikia hapo inapokuzwa
Washamba wa viwanja vikali kibao humu
 
tuelekeze tunakuja
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nyumbu wengi mno ile bar haina hata hadhi ya Nyota 4[emoji1787] Bongo ukituliza kichwa ukawa na hela yako aah unapasua anga
 
Taja code. Tupeane support.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah, ukute ni sababu ya ubahili wako, wateja wanakimbia sehemu hiyo, ukute haina hadhi ya kuwa pub lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…