Hahaha.vijana wa Tz buana..ila kijana usipoamua juu ya maisha yako kila siku utakua unaona wenzio wana brag tuu..sasa mi nimalize elimu toka 2013 muda wote huu nafanya nn..nna ajira..nna mtaj..yaan niwe nafanya nn kwa mfano muda wote huu...nishindwe kuwa na hako ka dude.?hahahahah daah...wakat mwenzio niko road hapa natafta eneo la kuweka golo langu la kumi wewe unafanya nn sjui muda huu.daah...ila usipokua inspired na kuwa na mawivu aisee utaish kwa tabu sana..wenzio huwa tunakua inspired na kuchkua hatua haraka...na hapo uskute una elimu..tena bachelor kabisaa lakin unashindwa hata fungua biashara ya mtaj wa 1m...kijana amka