Okay ...am home now..soo lets start like this
Pendeza..nukia...dont wear cheap fragrance..yaan uwe na scent ile ambayo ukipishana na mtu anageuka..lavender si lavender yaan unukie vzur..ujue sis wengne uki wear cheap perfume tunajua[emoji16]
Okay..kwenye nguo najua utakua unajua mwenyew..iwe casual or ki executive fresh tuu
Sasa ukifika pale..usiende kukaa kwenye kiti..maana utamu attract muhudum aje akuskilize..na hapo tayar umefanya kosa
Ukiingia tu moja kwa moja nenda kaunta cheka na mtu wa kaunta kama unamjua vile..kwa sisi wenye sound hii ni kitu rahis sanaaa[emoji16]
Pale sasa..kama unakunywa pombe..usiagize ma bia bia.achana nayo..kama kuna shots you can handle mwambia nipe shot unashtua kwanza..kwa sie ma konki ambao tayar ni famous maeneo hayo..shot ya 4000 nauziwa buk3 na wale wadada[emoji3]....
Kwanza kama kuna mtu hapo anakuangalia atasema dah huyu dada ni foreigne nin..maana una confidence ya hatar...
Hapo inakua tayar buku 4 imeenda...unakaa sasa unamwambia muhudum kama ana spirits au kilev chochote chenye kuanzia 35%...or kama hunywi pombe bas unaagiza chochote hapo nzur ni juice au hata cocktail flan ambayo haina kilev kikal..kama ni mtu wa pombe bas unamwambia akupe red label au k vant or wateva kachupa kadogo..mwambie akupe na li glass likubwa lile. Yaan hapo unaongea nae kama mshkaj kwa confidence. "akuwekee humo kwenye li glass lile la cocktail kubwa akuwekee na limao juu. Yaan aipambe glass vzur..halaf unachkua glass yako then unaenda kaa..kwa wewe mdada nenda kakae kwenye kochi usikae kwenye kiti kigum..tena kwa jeur unakaa hapo na kamto unakaweka vzur unaegemea na miguu kama una mguu mzur unauweka kama umekaa kwenye kochi la nyumban..aisee..mi ukinikuta na shemej yako maeneo.utadhan tuko sebulen kwetu...sasa ukifika muda wa msos...kwanza nilisahau..kama mfuko hauko vzur toka kwako umeshiba kabisaa..pale unafika muda unamwita muhudum akuletee mishkak ile mikubwa miwil. Kwa mdada unashiba kabisa..mishkak yetu ile huwa ni elf4 mmoja..ila ipo ya elf mbili..agiza akuletee pale . Hapo glass lako unavuta tuu mdogo mdogo na straw/mrija..hapo aisee unaweza kaa mda wowote..ukiona kinywaj kimekolea sana na kama una drive..bas badae agiza vimaj unakunywa mdogo mdogo..unashangaa umetumia 50 tuu na umeburudika swaaaf....nenda sehem za kijanja..dj mjanja..sio unaenda mahala dj anapiga bongo fleva tuu kelele nyiiing au bolingo..mi huwez nikuta huko...mi nikiskia johm delinga anapiga mahala nipo..ma dj wajanja wale kina peter more etc..wapo ma dj wajanja hata samak samak..yaan unakula mzik mtamu...ukimaliza hapo unaondoka zako...weekend well spent.