Hiv lachalz palivyo pachafu vile bado mnajadili tu ..mi nilidhan nilihitimisha tokea asubuh.kumbe bado watu mnachonga....hiv mkija goba au mkaenda mbezi beach .bahar beach zile bar za kule si mtasema ni bill20...
Dah sema nin vijana weng bado wanaijua pesa kwa kusikia...
Mi mwenyew ka pub kangu ngoja niseme ni ka mil60....akat hata mil8 hakajafika..na nimekatia mbao za pelet style ya skuhi kama lachalz na zingnezo..na kana flat mbili.mzik..counter nzur tu.sema hakana wateja nataka kahamisha location[emoji16]