[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lolHivi brother engineer unaijua kweli,yaani muda mwingi ukeshe club halafu uwakamate watu.Utawadanganya wenzio nahisi hata hichi unachokiandika uongo.
Yaani ulivyo fika sehemu hiyo ndio nimeona unatuuzia chai.
View attachment 1719991
Karib mkate ndugu . Ofisi zetu za umma hiz tunajiachia tuu.hata nkitaka ondoka muda huu naweza.....Hivi brother engineer unaijua kweli,yaani muda mwingi ukeshe club halafu uwakamate watu.Utawadanganya wenzio nahisi hata hichi unachokiandika uongo.
Yaani ulivyo fika sehemu hiyo ndio nimeona unatuuzia chai.
View attachment 1719991
Karib mkate ndugu . Ofisi zetu za umma hiz tunajiachia tuu.hata nkitaka ondoka muda huu naweza.....
Nakumbuka kipind niko first yr yule speshoz mshona masuti ya kina diamond nadhan ndo alikua anamaliza chuo...jamaa alikua mtu wa mambo meng sana alikua anani inspire sana alinambiaga mising flan hiv aisee..nai apply had leo..jamaa smart sana yule ....
Watu wa namna yangu wako weng sana Coet usiogope.....unamjua Atupele, au jamaa yangu TO wa mwaka 2008 form six...wale jamaa ni wala bata ila nenda class ndo utawajua vzur...mkuu kuwa mpole....koz za coet kama uko smart ni kawaida tu mkuu...ila kama ni mtu wa kukarir bas utapata tabu...sis wengne tuliteseka sana primary huku sekondar..tumesoma sanaaa tushakimbiza sanaa so vitu vime stick kichwa muda wote so hata unipeleke leo darasan ntakukimbiza tu
Namjua Atupelle Kilindu tokea yupo Forodhani na alikuwa wa Sita kitaifa form 6 (Mzumbe),huku mwenzake Raymond Aidan (Kibaha) ambaye alisoma nae Forodhani alikuwa wa 2 kitaifa.Karib mkate ndugu . Ofisi zetu za umma hiz tunajiachia tuu.hata nkitaka ondoka muda huu naweza.....
Nakumbuka kipind niko first yr yule speshoz mshona masuti ya kina diamond nadhan ndo alikua anamaliza chuo...jamaa alikua mtu wa mambo meng sana alikua anani inspire sana alinambiaga mising flan hiv aisee..nai apply had leo..jamaa smart sana yule ....
Watu wa namna yangu wako weng sana Coet usiogope.....unamjua Atupele, au jamaa yangu TO wa mwaka 2008 form six...wale jamaa ni wala bata ila nenda class ndo utawajua vzur...mkuu kuwa mpole....koz za coet kama uko smart ni kawaida tu mkuu...ila kama ni mtu wa kukarir bas utapata tabu...sis wengne tuliteseka sana primary huku sekondar..tumesoma sanaaa tushakimbiza sanaa so vitu vime stick kichwa muda wote so hata unipeleke leo darasan ntakukimbiza tu
Hahaha.dah..bas sawa..yaan unanibishia had watu ambao nime hang nao..dah bas sawa....Namjua Atupelle Kilindu tokea yupo Forodhani na alikuwa wa Sita kitaifa form 6 (Mzumbe),huku mwenzake Raymond Aidan (Kibaha) ambaye alisoma nae Forodhani alikuwa wa 2 kitaifa.
Nawajua vizuri tokea wapo O-Level ni watu wa misuli ,wewe mimi hunidanganyi,nimesoma nao kwa Mudi,Aiden na nimeshinda nao sana Tanganyika Library.
Na mimi nashukuru tuishie hapo hapo.Hahaha.dah..bas sawa..yaan unanibishia had watu ambao nime hang nao..dah bas sawa....
Mida ya kaz hii..naona niseme siku njema kaka...
Mi nmeish nao for 4 yrs bro.hahah.dah..ambiance kwa sana..heb tufanye hiv....we amin unachoamin ila narudia tena kuna watu wanakula bata na class wako vzurNamjua Atupelle Kilindu tokea yupo Forodhani na alikuwa wa Sita kitaifa form 6 (Mzumbe),huku mwenzake Raymond Aidan (Kibaha) ambaye alisoma nae Forodhani alikuwa wa 2 kitaifa.
Nawajua vizuri tokea wapo O-Level ni watu wa misuli ,wewe mimi hunidanganyi,nimesoma nao kwa Mudi,Aiden na nimeshinda nao sana Tanganyika Library.
Graduate wa udsm wanmwaka 2013 karibia wote ktk vyeti vyao waliwekewa status ya Hornor. Sikumbuki chuo kilipata status gan kimataifa waka share na graduate wao ..Hahahaha....bro...livin in different worlds..mim nna bachelor with horns from udsm class 2013..tena Coet...ni vile niko hiv yaan...mtoto wa mjin halaf nna akili kichwan..
Sio wew tu ambae hunielew .hata sekondar pia walikua hawanielew hata chuo pia...muaandaaj wa ma concert..tours lakin wakija kwenye pepa nawakamata...tunakesha club ..i ve been that way ever since....mi nmenunua gar yangu ya kwanza niko chuo mwaka wa pili...gx 100 used kwa mil5...hahahah.harakat kitambo bro
mizigo inakuja yenyewe yenyewe haiji hata na chipsi kavu duh
Kula bata hata mimi nakula lkn si mda mwingi kushinda club na sometimes unaandaa bash huo muda wa promo unaupata wapi.Mi nmeish nao for 4 yrs bro.hahah.dah..ambiance kwa sana..heb tufanye hiv....we amin unachoamin ila narudia tena kuna watu wanakula bata na class wako vzur
Watu walisoma sana ndio A level O level..ila chuo walikua hawana misuli hyo..hata mim nilikua nasoma sana huko ila chuo sikusumbuaga akili yangu....
kwahiyo kusukuma ndinga na kumiliki mademu ndo mafanikio?Vijana nyie sielew mnashangaa nin..ni vijana wa mkoan nn...hiv unajua usipokua na speed ya utaftaj mjin huku utakua na hasira tu mda wote...ukitaka uone gap la vijana wenzio hudhuria ma event haya...ukiskia sjui diamond ana show nenda ukiskia miss Tz.nenda ukiskia sjui nn.hudhuria.halaf uone vijana umri wako wanaskuma ndiga gan..au wanamilik madem wa aina gan..ukikaa umejifungia ndan tuu utahis wote mko sawa..yaan haujichallenge maisha....vijana tembeen mujionee..msipitwe na muda....
Napoleone kumbe wa juzi kabisa wakati The Hill ikiwa imeashaanza kuita majina ya College. Mkumbukege kutupa shikamoo wadogo zetu. All in all hongera kwa Husle za maishaHahahaha....bro...livin in different worlds..mim nna bachelor with horns from udsm class 2013..tena Coet...ni vile niko hiv yaan...mtoto wa mjin halaf nna akili kichwan..
Sio wew tu ambae hunielew .hata sekondar pia walikua hawanielew hata chuo pia...muaandaaj wa ma concert..tours lakin wakija kwenye pepa nawakamata...tunakesha club ..i ve been that way ever since....mi nmenunua gar yangu ya kwanza niko chuo mwaka wa pili...gx 100 used kwa mil5...hahahah.harakat kitambo bro
Usisahau hao unabishana nao wengi wamepita unapopita sasa hivi au hio 2013! Be humble.
Kusukuma ndinga ukiwa mwaka wa pili chuo unaona sio mafanikio usikaze ubongo kwamba gari mtu wa namna hiyo ina reflect alikuwa vizuri kivyovyote...nimesoma chuo nakiri sijaona Schoolmates au mwanafunzi yoyote anamiliki gari si gari hata hiyo 5M Cash humpati.kwahiyo kusukuma ndinga na kumiliki mademu ndo mafanikio?
kwahiyo kumbe me nikiazima gari au nkasukuma ndinga za wazazi kwenda chuo ntaonekana nina mafanikioKusukuma ndinga ukiwa mwaka wa pili chuo unaona sio mafanikio usikaze ubongo kwamba gari mtu wa namna hiyo ina reflect alikuwa vizuri kivyovyote...nimesoma chuo nakiri sijaona Schoolmates au mwanafunzi yoyote anamiliki gari si gari hata hiyo 5M Cash humpati.
Hatuzungumzii miaka baada ya ku gradu
Kunapo vyeo mtu apewe vyeo vyake sio kuvimbiana
Waswahili wanakuza sana mamboNdiyo zetu hata nilivyokuwa Sumbawanga nilikuwa nasikia Mlimani city bonge la mall,kufika nakutana na products feki zinauzwa bei zaidi ya original.
Munauzikumbuka kua sio kila mtu mwenye hela atanunua magari na kumiliki mademu
Kama imeisha [emoji28][emoji28][emoji28] watu mna dharau ilaMm sehemu kama sinza siendi huko. Lazima nikutane na watu nilisoma nao watataka kuchomeka USB. Ni mwendo wa Hoteli kubwa tu nikifika kama kawa wananifahamu tabia yangu. Nichemshie mchicha fungu moja na mayai mawili ya kuchemsha. Juice kidogo alafu hpo lazima juice niache nusu na yai nabakiza moja. Nusu saa baadae naagiza glass ya wine huku nabeti simu nyingine naongea na wanangu wa ulaya. Ya nini kukaa sehemu muhudumu anakuja kutingisha chupa
Moe namuona ona Havoc & East 24 JumamosiOkay ...am home now..soo lets start like this
Pendeza..nukia...dont wear cheap fragrance..yaan uwe na scent ile ambayo ukipishana na mtu anageuka..lavender si lavender yaan unukie vzur..ujue sis wengne uki wear cheap perfume tunajua[emoji16]
Okay..kwenye nguo najua utakua unajua mwenyew..iwe casual or ki executive fresh tuu
Sasa ukifika pale..usiende kukaa kwenye kiti..maana utamu attract muhudum aje akuskilize..na hapo tayar umefanya kosa
Ukiingia tu moja kwa moja nenda kaunta cheka na mtu wa kaunta kama unamjua vile..kwa sisi wenye sound hii ni kitu rahis sanaaa[emoji16]
Pale sasa..kama unakunywa pombe..usiagize ma bia bia.achana nayo..kama kuna shots you can handle mwambia nipe shot unashtua kwanza..kwa sie ma konki ambao tayar ni famous maeneo hayo..shot ya 4000 nauziwa buk3 na wale wadada[emoji3]....
Kwanza kama kuna mtu hapo anakuangalia atasema dah huyu dada ni foreigne nin..maana una confidence ya hatar...
Hapo inakua tayar buku 4 imeenda...unakaa sasa unamwambia muhudum kama ana spirits au kilev chochote chenye kuanzia 35%...or kama hunywi pombe bas unaagiza chochote hapo nzur ni juice au hata cocktail flan ambayo haina kilev kikal..kama ni mtu wa pombe bas unamwambia akupe red label au k vant or wateva kachupa kadogo..mwambie akupe na li glass likubwa lile. Yaan hapo unaongea nae kama mshkaj kwa confidence. "akuwekee humo kwenye li glass lile la cocktail kubwa akuwekee na limao juu. Yaan aipambe glass vzur..halaf unachkua glass yako then unaenda kaa..kwa wewe mdada nenda kakae kwenye kochi usikae kwenye kiti kigum..tena kwa jeur unakaa hapo na kamto unakaweka vzur unaegemea na miguu kama una mguu mzur unauweka kama umekaa kwenye kochi la nyumban..aisee..mi ukinikuta na shemej yako maeneo.utadhan tuko sebulen kwetu...sasa ukifika muda wa msos...kwanza nilisahau..kama mfuko hauko vzur toka kwako umeshiba kabisaa..pale unafika muda unamwita muhudum akuletee mishkak ile mikubwa miwil. Kwa mdada unashiba kabisa..mishkak yetu ile huwa ni elf4 mmoja..ila ipo ya elf mbili..agiza akuletee pale . Hapo glass lako unavuta tuu mdogo mdogo na straw/mrija..hapo aisee unaweza kaa mda wowote..ukiona kinywaj kimekolea sana na kama una drive..bas badae agiza vimaj unakunywa mdogo mdogo..unashangaa umetumia 50 tuu na umeburudika swaaaf....nenda sehem za kijanja..dj mjanja..sio unaenda mahala dj anapiga bongo fleva tuu kelele nyiiing au bolingo..mi huwez nikuta huko...mi nikiskia johm delinga anapiga mahala nipo..ma dj wajanja wale kina peter more etc..wapo ma dj wajanja hata samak samak..yaan unakula mzik mtamu...ukimaliza hapo unaondoka zako...weekend well spent.