Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Hivi brother engineer unaijua kweli,yaani muda mwingi ukeshe club halafu uwakamate watu.Utawadanganya wenzio nahisi hata hichi unachokiandika uongo.

Yaani ulivyo fika sehemu hiyo ndio nimeona unatuuzia chai.
View attachment 1719991
Karib mkate ndugu . Ofisi zetu za umma hiz tunajiachia tuu.hata nkitaka ondoka muda huu naweza.....

Nakumbuka kipind niko first yr yule speshoz mshona masuti ya kina diamond nadhan ndo alikua anamaliza chuo...jamaa alikua mtu wa mambo meng sana alikua anani inspire sana alinambiaga mising flan hiv aisee..nai apply had leo..jamaa smart sana yule ....

Watu wa namna yangu wako weng sana Coet usiogope.....unamjua Atupele, au jamaa yangu TO wa mwaka 2008 form six...wale jamaa ni wala bata ila nenda class ndo utawajua vzur...mkuu kuwa mpole....koz za coet kama uko smart ni kawaida tu mkuu...ila kama ni mtu wa kukarir bas utapata tabu...sis wengne tuliteseka sana primary huku sekondar..tumesoma sanaaa tushakimbiza sanaa so vitu vime stick kichwa muda wote so hata unipeleke leo darasan ntakukimbiza tu
 
Umenikumbusha mwanangu mmoja alikua Tele Coet, kila weekend tupo Ile Club External pale now imevunjwa 2007 hiyo tunakaa bibo.

Mimi nilikua Cass huko ila mwamba alikua anajiachia siku za chuo anapiga kitabu. Now yupo Voda. Unavyosema sahihi jamaa anakuza tu labda watoto wa siku hizi mkuu.
 
Karib mkate ndugu . Ofisi zetu za umma hiz tunajiachia tuu.hata nkitaka ondoka muda huu naweza.....

Nakumbuka kipind niko first yr yule speshoz mshona masuti ya kina diamond nadhan ndo alikua anamaliza chuo...jamaa alikua mtu wa mambo meng sana alikua anani inspire sana alinambiaga mising flan hiv aisee..nai apply had leo..jamaa smart sana yule ....

Watu wa namna yangu wako weng sana Coet usiogope.....unamjua Atupele, au jamaa yangu TO wa mwaka 2008 form six...wale jamaa ni wala bata ila nenda class ndo utawajua vzur...mkuu kuwa mpole....koz za coet kama uko smart ni kawaida tu mkuu...ila kama ni mtu wa kukarir bas utapata tabu...sis wengne tuliteseka sana primary huku sekondar..tumesoma sanaaa tushakimbiza sanaa so vitu vime stick kichwa muda wote so hata unipeleke leo darasan ntakukimbiza tu
Namjua Atupelle Kilindu tokea yupo Forodhani na alikuwa wa Sita kitaifa form 6 (Mzumbe),huku mwenzake Raymond Aidan (Kibaha) ambaye alisoma nae Forodhani alikuwa wa 2 kitaifa.

Nawajua vizuri tokea wapo O-Level ni watu wa misuli ,wewe mimi hunidanganyi,nimesoma nao kwa Mudi,Aiden na nimeshinda nao sana Tanganyika Library.
 
Hahaha.dah..bas sawa..yaan unanibishia had watu ambao nime hang nao..dah bas sawa....

Mida ya kaz hii..naona niseme siku njema kaka...
 
Na mimi nashukuru tuishie hapo hapo.
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Namjua Atupelle Kilindu tokea yupo Forodhani na alikuwa wa Sita kitaifa form 6 (Mzumbe),huku mwenzake Raymond Aidan (Kibaha) ambaye alisoma nae Forodhani alikuwa wa 2 kitaifa.

Nawajua vizuri tokea wapo O-Level ni watu wa misuli ,wewe mimi hunidanganyi,nimesoma nao kwa Mudi,Aiden na nimeshinda nao sana Tanganyika Library.
Mi nmeish nao for 4 yrs bro.hahah.dah..ambiance kwa sana..heb tufanye hiv....we amin unachoamin ila narudia tena kuna watu wanakula bata na class wako vzur

Watu walisoma sana ndio A level O level..ila chuo walikua hawana misuli hyo..hata mim nilikua nasoma sana huko ila chuo sikusumbuaga akili yangu....
 
Hahahaha....bro...livin in different worlds..mim nna bachelor with horns from udsm class 2013..tena Coet...ni vile niko hiv yaan...mtoto wa mjin halaf nna akili kichwan..

Sio wew tu ambae hunielew .hata sekondar pia walikua hawanielew hata chuo pia...muaandaaj wa ma concert..tours lakin wakija kwenye pepa nawakamata...tunakesha club ..i ve been that way ever since....mi nmenunua gar yangu ya kwanza niko chuo mwaka wa pili...gx 100 used kwa mil5...hahahah.harakat kitambo bro
Graduate wa udsm wanmwaka 2013 karibia wote ktk vyeti vyao waliwekewa status ya Hornor. Sikumbuki chuo kilipata status gan kimataifa waka share na graduate wao ..
 
Mi nmeish nao for 4 yrs bro.hahah.dah..ambiance kwa sana..heb tufanye hiv....we amin unachoamin ila narudia tena kuna watu wanakula bata na class wako vzur

Watu walisoma sana ndio A level O level..ila chuo walikua hawana misuli hyo..hata mim nilikua nasoma sana huko ila chuo sikusumbuaga akili yangu....
Kula bata hata mimi nakula lkn si mda mwingi kushinda club na sometimes unaandaa bash huo muda wa promo unaupata wapi.

Sasa ngoja ni kwambie ,wale jamaa (Atupelle na Raymond) walikuwa wanakomaa,masaa saba Libray baada ya saa 12 kufunga wanaenda kwenye Libray moja ina milikiwa na wahindi ipo karibu na shule ya Kisutu,wanakaa wanasoma mpaka saa tatu.

Ninacho ongea na kijua na siku nyingine huko kwenye libray ya wahindi nilikuwa naenda nao,sijasoma nao advance lkn kipindi cha likizo tulikuwa tunakutana nao Advance still mwendo uleule.
 
Vijana nyie sielew mnashangaa nin..ni vijana wa mkoan nn...hiv unajua usipokua na speed ya utaftaj mjin huku utakua na hasira tu mda wote...ukitaka uone gap la vijana wenzio hudhuria ma event haya...ukiskia sjui diamond ana show nenda ukiskia miss Tz.nenda ukiskia sjui nn.hudhuria.halaf uone vijana umri wako wanaskuma ndiga gan..au wanamilik madem wa aina gan..ukikaa umejifungia ndan tuu utahis wote mko sawa..yaan haujichallenge maisha....vijana tembeen mujionee..msipitwe na muda....
kwahiyo kusukuma ndinga na kumiliki mademu ndo mafanikio?
 
Hahahaha....bro...livin in different worlds..mim nna bachelor with horns from udsm class 2013..tena Coet...ni vile niko hiv yaan...mtoto wa mjin halaf nna akili kichwan..

Sio wew tu ambae hunielew .hata sekondar pia walikua hawanielew hata chuo pia...muaandaaj wa ma concert..tours lakin wakija kwenye pepa nawakamata...tunakesha club ..i ve been that way ever since....mi nmenunua gar yangu ya kwanza niko chuo mwaka wa pili...gx 100 used kwa mil5...hahahah.harakat kitambo bro
Napoleone kumbe wa juzi kabisa wakati The Hill ikiwa imeashaanza kuita majina ya College. Mkumbukege kutupa shikamoo wadogo zetu. All in all hongera kwa Husle za maisha
 
kwahiyo kusukuma ndinga na kumiliki mademu ndo mafanikio?
Kusukuma ndinga ukiwa mwaka wa pili chuo unaona sio mafanikio usikaze ubongo kwamba gari mtu wa namna hiyo ina reflect alikuwa vizuri kivyovyote...nimesoma chuo nakiri sijaona Schoolmates au mwanafunzi yoyote anamiliki gari si gari hata hiyo 5M Cash humpati.

Hatuzungumzii miaka baada ya ku gradu

Kunapo vyeo mtu apewe vyeo vyake sio kuvimbiana
 
kwahiyo kumbe me nikiazima gari au nkasukuma ndinga za wazazi kwenda chuo ntaonekana nina mafanikio
 
Mm sehemu kama sinza siendi huko. Lazima nikutane na watu nilisoma nao watataka kuchomeka USB. Ni mwendo wa Hoteli kubwa tu nikifika kama kawa wananifahamu tabia yangu. Nichemshie mchicha fungu moja na mayai mawili ya kuchemsha. Juice kidogo alafu hpo lazima juice niache nusu na yai nabakiza moja. Nusu saa baadae naagiza glass ya wine huku nabeti simu nyingine naongea na wanangu wa ulaya. Ya nini kukaa sehemu muhudumu anakuja kutingisha chupa
Kama imeisha [emoji28][emoji28][emoji28] watu mna dharau ila

Okay ...am home now..soo lets start like this

Pendeza..nukia...dont wear cheap fragrance..yaan uwe na scent ile ambayo ukipishana na mtu anageuka..lavender si lavender yaan unukie vzur..ujue sis wengne uki wear cheap perfume tunajua[emoji16]

Okay..kwenye nguo najua utakua unajua mwenyew..iwe casual or ki executive fresh tuu

Sasa ukifika pale..usiende kukaa kwenye kiti..maana utamu attract muhudum aje akuskilize..na hapo tayar umefanya kosa
Ukiingia tu moja kwa moja nenda kaunta cheka na mtu wa kaunta kama unamjua vile..kwa sisi wenye sound hii ni kitu rahis sanaaa[emoji16]

Pale sasa..kama unakunywa pombe..usiagize ma bia bia.achana nayo..kama kuna shots you can handle mwambia nipe shot unashtua kwanza..kwa sie ma konki ambao tayar ni famous maeneo hayo..shot ya 4000 nauziwa buk3 na wale wadada[emoji3]....

Kwanza kama kuna mtu hapo anakuangalia atasema dah huyu dada ni foreigne nin..maana una confidence ya hatar...

Hapo inakua tayar buku 4 imeenda...unakaa sasa unamwambia muhudum kama ana spirits au kilev chochote chenye kuanzia 35%...or kama hunywi pombe bas unaagiza chochote hapo nzur ni juice au hata cocktail flan ambayo haina kilev kikal..kama ni mtu wa pombe bas unamwambia akupe red label au k vant or wateva kachupa kadogo..mwambie akupe na li glass likubwa lile. Yaan hapo unaongea nae kama mshkaj kwa confidence. "akuwekee humo kwenye li glass lile la cocktail kubwa akuwekee na limao juu. Yaan aipambe glass vzur..halaf unachkua glass yako then unaenda kaa..kwa wewe mdada nenda kakae kwenye kochi usikae kwenye kiti kigum..tena kwa jeur unakaa hapo na kamto unakaweka vzur unaegemea na miguu kama una mguu mzur unauweka kama umekaa kwenye kochi la nyumban..aisee..mi ukinikuta na shemej yako maeneo.utadhan tuko sebulen kwetu...sasa ukifika muda wa msos...kwanza nilisahau..kama mfuko hauko vzur toka kwako umeshiba kabisaa..pale unafika muda unamwita muhudum akuletee mishkak ile mikubwa miwil. Kwa mdada unashiba kabisa..mishkak yetu ile huwa ni elf4 mmoja..ila ipo ya elf mbili..agiza akuletee pale . Hapo glass lako unavuta tuu mdogo mdogo na straw/mrija..hapo aisee unaweza kaa mda wowote..ukiona kinywaj kimekolea sana na kama una drive..bas badae agiza vimaj unakunywa mdogo mdogo..unashangaa umetumia 50 tuu na umeburudika swaaaf....nenda sehem za kijanja..dj mjanja..sio unaenda mahala dj anapiga bongo fleva tuu kelele nyiiing au bolingo..mi huwez nikuta huko...mi nikiskia johm delinga anapiga mahala nipo..ma dj wajanja wale kina peter more etc..wapo ma dj wajanja hata samak samak..yaan unakula mzik mtamu...ukimaliza hapo unaondoka zako...weekend well spent.
Moe namuona ona Havoc & East 24 Jumamosi
 
Soo sad hakua na bima. He was on the process. Siyo ukumbi, siyo bar, sijui supermarket etc chenye bima. Alikua yuko kwenye mchakato ndo shetani akaingilia. ...
Kwahiyo wale walokua wanahisi maybe bima sijui kachoma and everything. Hapana. Niliamini hivyo pia. Hoping all will go well.
 
Back
Top Bottom